Friday, 6 February 2009

Wiki ya Barafu UK

Wiki hii tangu jumatatu 02/02/2009 kumekuwa na baridi kali na kuanguka barafu kiasi cha kusababisha hali ya usafiri kuwa ya shida na pia shule kufungwa.
Barabara kubwa zilikuwa zinamwagiwa chumvi ili barafu iyeyuke na barabara kupitika ila kwa zile barabara za ndani zilikuwa ni kero tupu!

No comments: