Thursday, 31 December 2009

Kwenu, Dada Suzana na Dr Ezra Chomete

.........................................................
Nawapongezeni kwa kuadhimisha siku yenu ya ndoa hapo Januari 03, 2010.
Nawatakieni maisha mema ya pamoja na mzidi kuimarika kindoa!

Mungu awabariki pamoja na watoto wenu Lameck na Raphael.

Nawatakieni kila la kheri, mafanikio na afya njema ktk mwaka mpya 2010.


Ni mimi
Mosonga,
kwa niaba ya mke wangu na mwanangu Tezzy.
.............................................................

'Yafa' and 'Mameck'

I always remember you.
I enjoyed being close to you all the time - for example-
we played,
we sang cbeebies songs,
we ran,
we loughed, drew pictures, watched telly, went shoppping at Lidl, Tesco, library, to and from school together!

By the way if you didn't know, I learnt a lot from you!

May God Bless you as you begin the new year 2010 and new classes (Reception for Rapha and Year 3 for Lameck)!

Say Hi to Dad, Mom and friends (Treasure, Cosin's sons etc.)

...............................................................

'If that can not take your "Monday Blues" away ..., What can I do for you???!!' -These words were originally said by my friend and presenter of BBC Network Africa, Ben D. Malor in 1990s. He is now in New York working with UN Radio
................................................................

31th Dec. 2009: Happy Birthday to you Sir Alex!

Salaam za siku yako ya kuzaliwa (leo Alhamis ya 31/12/2009) zikufikie
Sir Alex C. Ferguson, meneja wa timu yetu, Manchester United!

Mungu akujalie miongo zaidi na uendelee kutuletea mataji zaidi.

Nasikia mzee wa BOGOF anamezea mate mafanikio yako OT! We usijali -Atajijeijei!!


Nakutakia pia Heri ya Mwaka Mpya 2010 pamoja na wachezaji na ma-staff wote wa Man United!


........................................................................
Sir Alex can celebrate his 68th birthday on New Year’s Eve safe in the knowledge United are within striking distance of leaders Chelsea (two points behind).
He made just one change from the team that beat Hull on Sunday; Ji-Sung Park replacing Ryan Giggs on the left flank - such continuity has been rare given the chopping and changing the United boss has been forced into in recent weeks.

source: www.manutd.com 31/12/2009 (on Man Utd v Wigan game of 30/12/2009)
........................................................................