Wednesday, 27 April 2011

Tofauti ni nini?

Kuna kipindi unaomba contacts za watu, unawatafuta sana!

Kuna wakati watu wanakuomba contact yako, wanakutafuta sana!

(Can you spot the difference?)

Wednesday, 13 April 2011

'Chagua KIKWETE'

Tukuyu, Agosti 31, 2010
Ilikuwa ktk tafrija ya birthday ya rafiki yangu Fujii kutoka Japani wakati harakati za kampeni uchaguzi mkuu zimepamba moto. Tafrija hiyo ilifanyika ktk mgahawa ulio opposite na ofisi ya ccm wilaya.
Fujii akaona bango la kampeni limeandikwa 'Chagua Kikwete' likiwa na picha ya JK!

Akaniuliza;
'so "Kikwete" is his surname?',

nikamjibu yes.

Akauliza tena, 'and "Chagua" is his first name?'

(sina mbavu!! Nilicheka kwa kweli kabla sijamuelemisha. Hii ndo Lugha Yetu ya Taifa!)