Tuesday, 26 July 2011

Twende

Mambo yalivyo Vs. Jicho langu - kama niyaonavyo.

1. Uwanja wa Taifa (England), Wembley v. Uwanja wetu wa Taifa.

ITAENDELEA!!!!!
.....

Friday, 15 July 2011

BwT: A fountain of Wisdom and source of Inspiration

Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, at Sokoine Stadium Mbeya on May 01, 1995 said,

'Duniani kuna watu maskini na watu wasio maskini, lakini umaskini mbaya kuliko wote ni umaskini wa mawazo - mbaya sana.

Duniani kuna kutegemea, unaweza kutegemea, na kutegemea wakati wote ni kutegemea kubaya sana lakini kutegemea kuliko kote kabisa kabisa ni kutegemea mtu mwingine kwa mawazo, ni kutegemea kwa ovyo sana. kunakunyima utu wako.

Watu tunashirikiana mawazo lakini mawazo ambayo waziwazi ni ya kijinga lazima tuyakatae, kwa sababu mtu mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbavu usipoyakataa anakudharau.

... udogo wa mawazo ... umaskini wa mawazo ni umaskini kupita wote kabisa kabisa ....'