Wednesday, 26 September 2012

Gambooo! (Gamble), Courage or Anointing?

Mzee wa Upako, amefanya maombi - YAMEJIBU! El Nino mwezi wa ujao (Oktoba) HAIPO!! tena amesema kwa herufi zote kubwa! (ila ameongeza kwamba: bondeni hameni na Red Cross endeleeni na maandalizi maana ni kazi yenu lakini El-Nino imeshayeyuka!!!) Huyu ndiye Mzee wa Upako (Transfoma!!) Kanena bila kutafuna maneno, na kama el nino itakuja yuko tayari kufunga kanisa na kurudi kijijini! Msemo wa Alan Hansen wa BBC One 'Match of the Day' ........... gamboo...! akimaanisha washambuliaji ku'gambo' ktk kuingia positions kubahatisha pasi za kumalizia mpira (tap-ins) (To be fair, amesema wazi kuwa mvua za kawaida za vuli zitanyesha lakini si kwa kiwango kikubwa cha el nino!!!!!!!) Is it a GAMBLE? Only TIME will tell, folks!!! (SOURCE: Channel Ten TV (Tanzania), Saturday 22/September/2012 around 21:30)

Wednesday, 5 September 2012

'I am Back!!'

niko hewani wapendwa!!! (kichwa cha habari nimem-quote Didier Drogba 2007/08 alipofunga goli mechi ya kwanza baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu!) NB: Mr Frank Kubwera (pole sana mheshimiwa, tutawasiliana)