Thursday, 12 February 2009

dondoo: kiharusi (stroke)

nimesikia redioni tangazo likielezea mambo muhimu ya kujali ili kugundua dalili za stroke (kiharusi).

kwa kifupi wanasema FAST.

F- Face. uso umeshuka upande mmoja?
A- Arms. inawezekana kunyoosha mikono na kuganda hapohapo? (mbawa za ndege)?
S- Speech. kuongea polepole?
T- Time. ni muda wa kupiga simu 999 kuomba msaada wa huduma ya kwanza haraka. (kwa Tanzania, mpeleke mgonjwa hospitali mara moja endapo dalili hizo zitajionyesha kwa mgonjwa).

Kugundua dalili mapema kunaweza kumsaidia mgonjwa kuepuka ulemavu wa maisha au kuokoa maisha yake!

No comments: