Tuesday, 7 April 2009

Pata habari anuai 'nyumbani' kwa Chemi

Mume atalikiwa sababu ya "rungu" kubwa

Dar Es Salaam, Tanzania
Mwanamke mmoja amerudi kwa wazazi wake akilalamika kwamba "jogoo" la mumewe ni kubwa sana. Mwanamke huyo mkazi wa jijini aliwashangaza ndugu zake waliofika nyumbani kwake alipowatobolea kwamba hawezi kuvumilia "kugongwa" na "rungu" hiyo kubwa ya mumewe.

Awali gazeti la "Kasheshe" lilieleza kwamba, mume alilalamika kwa ndugu za mkewe akisema tangu wafunge ndoa miezi minane iliyopita, alifanikiwa kufanya nae tendo la ndoa siku moja pekee. "Mke wangu amenishangaza. Tangu tuoane miezi minane iliyopita alinipa unyumba siku tuliyofunga ndoa tu. tangu hapo amekataa kabisa kunipa haki yangu.

Kila nikimuomba anasema eti mimi si size yake", akalalamika mume. Mkewe alipoulizwa na ndugu zake sababu ya kumnyima mumewe chakula cha ndoa, aliwashangaza zaidi alipowaambia kwamba mumewe ana uume mkubwa sana ambao ameshindwa kuumudu.

"Aliniumiza sana siku ya kwanza na siwezi kuvumilia tena. Anipe talaka yangu nirudi kwetu", akasema mwanamke.Juhudi za ndugu hao za kumsihi dada yao ajaribu tena kufanya tendo la ndoa na mumewe wakimwambia atazoea maumbile yake, hazikufua dafu.
***********************************

CHEMI'S COMMENT:
Mmmh si aende kwa kungwi wamsaidie basi jinsi ya kuumudu! Huyo mume atampata mke mwingine hasa baada ya hii habari ya rungu kubwa kuenea! LOL!

Posted by Chemi Che-Mponda at 8:06 AM 9 comments

Labels: Jogoo, Ngono, Rungu, Tendo la Ndoa
.......................................................

Chanzo: Chemi Che-Mponda Blog

1 comment:

MOSONGA RAPHAEL said...

NILITOA MAONI KTK CHEMI'S BLOG

.....................
Yasinta Ngonyani said...
Kazi kwelikweli

April 06, 2009 1:54 AM
.............................

MOSONGA RAPHAEL said...
Kama mwanamke anaweza kujifungua mtoto au watoto mapacha, inakuwaje ashindwe hapo?
Ina maana kipenyo (diameter) cha uume ni kikubwa kuliko cha mwili wa mtoto?

Swali kwa kina mama: wengi wenu mnapendelea saizi gani?

April 06, 2009 2:57 AM
............................

Anonymous said...
UKUNI HUO!

April 06, 2009 5:21 AM
...........................

Anonymous said...
Mosonga Raphael, mwanamke ndio anaweza zaa hata mapacha sita kwa wakati mmoja, lakini kumbuka wale watoto wanatoka nje na sio wanasokomezwa ndani yake, big difference hapo, halafu kuna contraction muscles zinazomsaidia mwanamke kufanya hivyo ktk uzazi. Lakini ikija kwenye uume mkubwa ni tofauti maana unaingia ndani na pia sex ni tendo la kuenjoy sio la uchungu! ndio maana kuna watu wanavaa pete ili wajue limit ya kuingiza ni wapi, hii ni true story, ila alitakiwa amueleze mwenzi wake tangu mwanzo ili wajue watalitafutia solution gani, sio kumsuprise mwenzie na wedding present kama hiyo!!

April 06, 2009 1:15 PM
...............................