Monday, 12 January 2009

12/01/2009: Siku ya Mapinduzi Zanzibar

Leo ni siku muhimu ktk hstoria ya Tanzania Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kwani ni siku ya Mapinduzi yaliyowang'a wakoloni visiwani unguja na Pemba mnamo tarehe 12/01/1964.

Natoa salaam kwa Rais wa SMZ, serikali yake na wananchi kwa ujumla.

'Mapinduzi Daima'.

No comments: