Thursday 11 October 2007

Kikwete miaka 57, Hongera

Birthday ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. J Kikwete ni ilikuwa 07/10/2007 Jumapili iliyopita, ambapo alitimiza umri wa miaka 57.
Nampongeza na kumwombea maisha marefu!
Na Mosonga

No comments: