Tuesday 10 July 2007

Gallas wa Arsenal aniunga mkono

Gallas voices concerns at Arsenal

Defender Gallas appears to be unsettled at Arsenal.
Arsenal's William Gallas wants talks with boss Arsene Wenger after revealing he and fellow players are unhappy with the club's lack of recruitment.
"What is sure is that several players are questioning the club's future," Gallas, 29, told his official website.
"Around us, teams are recruiting but what is planned to compensate for the departure of Thierry Henry?"
"I will have a discussion with Arsene Wenger and certain board members to find out the objectives for the club."
He added: "Today I am an Arsenal player but I do not know what can occur tomorrow."
I am not at Arsenal to play for third place
William Gallas
The Gunners sold striker Henry to Barcelona in June and have only bought in the unproven Eduardo da Silva from Dinamo Zagreb as a replacement.
Meanwhile, Manchester United, Chelsea and Liverpool have made some high-profile captures that have left Arsenal in the shade.
The Gunners were linked with Ajax winger Ryan Babel but now appear to be second favourites, with Liverpool seemingly in pole position to land the Holland Under-21 player.
Former Chelsea star Gallas recognises that the cost of building the club's Emirates Stadium seems to be curtailing Arsenal's spending.
But he wants more seasoned talent added to the Gunners ranks to help the side challenge for trophies.
"I am not at Arsenal to play for third place," he said.
"It is necessary to recruit players of reputation because the young players have many qualities but the season is very, very long.
"The young players are thirsty for victories but Arsenal must obtain results, win titles in this period.
"If not, we will have to change policy and do the same as the other teams: recruit with more means."

source: BBC Sport(football), www.bbc.co.uk 10/7/2007.

Maoni yangu kuhusu Arsenal tarehe 08/4/2006 na 25/7/2007.
Kwa upande wenu Arsenal timu bado ni changa na bahati inawasaidia. Bado siamini kuwa mtafika fainali (au kuchukua kombe) kwa sababu hamna uzoefu. Kuhusu mechi ya kesho Old Trafford, Man Utd itashinda. Uzoefu, Nguvu, Ushambuliaji wa Man U ni mkubwa kuliko Arsenal. Nafasi yenu kushinda au kuambulia sare ni ndogo sana. Ktk kiungo hali yenu sio mbaya tunaweza kulingana. Ulinzi tunawazidi, Golini tuko sawa kwa hiyo washambuliaji + viungo ndio wataamua mechi - vitu ambavyo Man U ipo juu yaArsenal.
Hivi sasa mambo si shwari Arsenal na msimu uliopita nusura wakose hata nafasi ya 4 (champions league positon)!!
Thiery Henry nae uzalendo umemshinda kaona bora ajiondokee.
Hatma ya Arsene Wenger iko ktk hatihati huenda nae yuko njiani kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu ujao (mkataba wake utakapoisha)!!
Ujenzi wa uwanja mpya wa Emirates umeigharimu Arsenal hela nyingi na hivi sasa wanarudisha deni kwa wakopeshaji (creditors); ila hali itarejea shwari baada ya miaka 5 hivi. (Wenger aliwahi kusema, mwaka 2003, kuwa hali ya kifedha Arsenal itarejea ktk hali nzuri baada ya miaka 8 na hivi sasa imeshapita miaka 4 tangu kauli ya Wenger). Ndio maana Arsenal kwa sasa hawana hela ya kununua wachezaji wazuri ambao wanagharimu zaidi ya £15mil. Utaona mara nyingi wachezaji wa Arsenal wanagharimu chini ya £10mil. na sio kwamba wanapenda au kubana matumizi; jibu ni kwamba hawana hela za kushindana na timu za Man Utd, Chelsea na Liverpool. Na kwa sasa hata West Ham inawashinda Arsenal ktk soko la kununua wachezaji!!!
Ni lazima Arsenal iamue sasa kutumia hata kama ni kukopa zaidi au kumkubali owner mwingine ambae atawekeza hela zaidi.

Na sasa Gallas nae kaliona hilo, is it too late? Hebu tusubiri
.

No comments: