Tuesday 12 June 2007

Jicho kwa Nyumba Jirani!

UK wana mpango wa kuanzisha 'compulsory volunteering' kwa vijana. Watu wanasema hii ni 'morden version' ya JKT tuliyokuwa nayo kwetu!
Kwa sasa wanao utaratibu wa Community Service Voluteering (CSV) ambao unafanya kazi.


There is a call to scrap Tests for all children at 7, 11 & 14.
The General Teaching Council (UK) study say that exams are failing to improve standards and put children off school. Also teachers are being forced to 'drill' children to pass tests (for the sake of schools' good positions on the league tables) rather than giving a broader education.
According to the study, exams leave pupils in a state of panic.


UK wameandaa utaratibu wa madaktari (GPs) kupewa nafasi ktk maduka makubwa ili watu waweze kuwaona madaktari bila kukatiza ratiba zao za kila siku! Kwa maana hiyo mtu akienda shopping anamwona daktari dukani huku shopping ikiendelea. Watu wako 'busy' kiasi cha kusahau au kuchoka kwenda hospitalini!


England goes smokefree on July, 01, 2007. It will be against the law to smoke in virtually all enclosed public places and work places. If someone does smoke in public he/she could be fined or end up in court.

No comments: