Thursday, 9 October 2008

Happy Birthday Rais Kikwete

Nampongeza Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutimiza umri wa miaka 58 siku ya tarehe 07/10/2008. Mhe Rais alizaliwa tarehe 07/10/1950.
Ninamtakia maisha marefu na kazi njema.

No comments: