Friday 8 February 2008

Totoz

Naomba niseme ukweli kidogo ....
Wanaume (karibu) wote na rika zote tunapenda kuangalia (sometimes kutamani) mwanamke ambaye amevalia nguo fupi na ya kubana maungo. Hasa hasa kama ana miguu au maungo yaliyojaa!
Wenye busara humezea na kujizuia, lakini kutamani kupo! FACT!!!

No comments: