Saturday 10 May 2008

Utata wa 'vijisenti' vya Chenge!

Hela au vijisenti vya Mhe Chenge alivyojiwekea nje ya nchi kinyemela(?) ni kiasi gani? Mbona vyombo vya habari vinatuchanganya wajameni!!
Ni Dola bilioni 1 au Dola milioni 1???
-mosonga2002@yahoo.com
........................

(Guardian, 2008-05-10 11:11:56. By Hannah Mwandoloma and Angel Navuri)
CCM secretary general Yusuf Makamba has described the official welcome home accorded to former Infrastructure Development minister Andrew Chenge when he went to his Bariadi West constituency this week as a sign of how the legislator is accepted by his electorate.

Chenge visited his Bariadi West constituency on Wednesday for the first time since he resigned last month following allegations that he had illegally deposited USD 1 billion in a foreign country.
............................

(SOURCE: Nipashe, 19 Apr 2008. By Dunstan Bahai)
Waziri wa Miundombinu, Bw. Andrew Chenge, maarufu kwa jina la `bilionea wa vijisenti` amegeuka bubu, hataki kuzungumza na waandishi.

Aprili 12, mwaka huu, gazeti la The Guardian la Uingereza, liliandika habari kuwa, Waziri Chenge amejilimbikizia dola zaidi ya milioni moja (zaidi ya Shilingi bilioni moja) kwenye benki moja iliyopo kisiwa cha Jersey, Uingereza.

No comments: