Tuesday, 10 November 2009

Wazazi watarajiwa mpooo!

Wajibu mkuu wa mzazi (kabla ya kuoa) ni kumchagulia mwanae mama au baba bora.

Fikiri vema kabla ya kuoa au kuolewa.

Jiulize pia hili swali. Je, mwanangu nimtafutie mama au baba yupi ambaye ni bora na anafaa kumlea au kufanana nae au kumrithi kitabia, kiakili n.k.!!!!

Tabia, akili na sifa za mwanao waweza kuziandaa mapema kabla ya kuwa na mtoto.

Wewe unaonaje au unafikiaje?

(chanzo: kipindi cha arrasaala, saa4 usiku, channel ten tv, jumapili 08/nov/2009, host mohammed idd)

No comments: