Friday, 12 September 2008

Zawadi usiyotegemea

Leo pale Henley-on-Thames binti mmoja mwanafunzi alipanda ktk basi huku kifuani juu ya sweta akiwa na beji yenye maandishi 'birthday girl'.

Binti kachukua pochi yake akatoa nauli kumpatia dereva. Lakini bila kutazamia yule binti alishangaa nauli yake inarudishwa na dereva. Dereva kamuambia ingia tu, usijali - happy birthday!. Binti alitabasamu na kushukuru kwa kupata zawadi ya siku ya kuzaliwa pale ambapo hakutarajia ataweza kuipata!!!

Binti ni mwanafunzi ktk shule ya Piggott pale Twyfford.

No comments: