Wednesday, 3 September 2008

Mhhh! Binti wa kibantu bomba!!!

Mimi huwa ni mshabiki wa mabinti au wanawake waafrika wenye asili ya kibantu hasahasa ukianzia kwenye rangi yao ya asili na maumbile ya maungo yao!

Nilishawahi kuongelea mabinti wa kibantu. Hebu tujikumbushe nilichoandika hapa!

Thursday, 27 March 2008
In the drama 'The No. 1 Ladies' Detective Agency' Jill Scoll plays as Precious Ramotswe or 'Mme Mma Ramotswe'.
To be honest, she is naturally beautiful, blessed with an african or a bantu woman figure! She has got nice legs, boobs and a beautiful face!


Pia nimegundua kumbe siko peke yangu, tupo wengi wenye mtazamo huu!
Zaidi soma hapa chini maoni ya watoa maoni mbalimbali ktk kijiwe cha dada Chemi (swahili-time).
-na mosonga

........................

Anonymous said...
Maskini! Mwembamba mno huyo. Mbona huyo mnene anayesaidia anaonekana kama anafuraha na afya? Acheni kujikondesha kama mgonjwa jamani.
-August 30, 2008 3:27 PM


Anonymous said...
Acheni kuiga wazungu jamani akina dada. Sisi waafrika tunapenda akina dada waliojaa. Kati ya huyo Sarah na huyo mnene mimi namchagua mnene kama mzuri!
August 31, 2008 9:39 AM


Egidio Ndabagoye said...
Mrefu,hips kidogo,nyuma kumejaa jaa sio kapigwa pasi,kiuno dondola,guu guu kweli sio fito.....popote pale wasichana wa bongo inasemekana ni vyuma hasa!
August 31, 2008 10:03 AM

...........................
-source: chemi's blog

No comments: