Sunday, 22 November 2015

John Pombe Joseph Magufuli

Napenda kukupongeza kwa kuchaguliwa kwako kuwa Rais wa Tanzania. Aidha naipongeza CC, NEC na Congress ya CCM kwa kupitisha jina lako. Najipongeza mimi binafsi na watanzania wenzangu kwa kukupigia kura za ndiyo za kutosha na kukupa ushindi katika uchaguzi mkuu 2015. Umeanza kazi vizuri, endelea hivyohiyo, tuko pamoja.

No comments: