Friday, 31 May 2013

Hongera kwa ma-Profesa hawa!

Sijapata nafasi ya kutosha kufuatilia au kuangalia Bunge la mwaka huu (bajeti) ila nimebahatika kuona na kufurahia hoja za mawaziri fulanifulani hasa Profesa Mark Mwandosya na Profesa Anna Tibaijuka. Nimewasikiliza kwa makini na kujifunza mengi kutoka kwao!!! Hata Spika Anne Makinda performance yake Bungeni ni ya kiwango cha JUU kabisa!

No comments: