Tuesday, 21 June 2011

Hongera HPM!!! (Kirumbaaaaa)

Kwako Hamis P Madaki,

Nimesoma gazeti la michezo Champion la jana 20/06/2011 nikaona jina la Katibu Mkuu wa Kagera Sugar FC ni Hamis Madaki (CCM Kirumba).

Kwanza nimefurahi sana kuona mate wangu yuko ngangari ktk anga za kabumbu na anajishughulsha vilivyo!

Pili Hongera sana kwa mafanikio hayo! Endelea na juhudi kama hizo.Ni mimi U/Taifa 756513371.

No comments: