tag:blogger.com,1999:blog-14058406854128488472024-03-05T20:19:35.244+00:00OPEN HEART, OPEN MIND'in partnership with MOSONGA RAPHAEL'MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.comBlogger1099125tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-20050484084464691792015-11-22T09:52:00.004+00:002015-11-22T09:52:57.224+00:00John Pombe Joseph MagufuliNapenda kukupongeza kwa kuchaguliwa kwako kuwa Rais wa Tanzania. Aidha naipongeza CC, NEC na Congress ya CCM kwa kupitisha jina lako.
Najipongeza mimi binafsi na watanzania wenzangu kwa kukupigia kura za ndiyo za kutosha na kukupa ushindi katika uchaguzi mkuu 2015.
Umeanza kazi vizuri, endelea hivyohiyo, tuko pamoja.MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-71046041293857647142013-05-31T08:51:00.001+01:002013-05-31T08:51:15.883+01:00Hongera kwa ma-Profesa hawa!Sijapata nafasi ya kutosha kufuatilia au kuangalia Bunge la mwaka huu (bajeti) ila nimebahatika kuona na kufurahia hoja za mawaziri fulanifulani hasa Profesa Mark Mwandosya na Profesa Anna Tibaijuka. Nimewasikiliza kwa makini na kujifunza mengi kutoka kwao!!! Hata Spika Anne Makinda performance yake Bungeni ni ya kiwango cha JUU kabisa!MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-74057106190738239732013-03-28T12:41:00.002+00:002013-03-28T12:41:42.268+00:00Bango Uchaguzi 2010: "Chagua KIKWETE"Yoyo (mjapani): so KIKWETE is his surname?
Mimi: Yes.
Yoyo: and "Chagua" is his first name?MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-53663591166362488152013-03-18T09:10:00.002+00:002013-03-18T09:10:30.784+00:00Kama KomediMzungu: "so you said you come from Hawaii or Havaii?"
Mhindi: "Havaii"
Mhindi: "you are Velcome!"MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-32933208015340241442013-03-18T09:06:00.003+00:002013-03-18T09:06:46.053+00:00Mdau kanitumia e-mail, ha ha haaaaaaaaa!!!!! wataishia kunawa zis yia!!!!!!Fergie on FA respect
ALEX FERGUSON has always insisted that referees should be respected.
The Manchester United boss angrily confronted official Mike Dean at Old Trafford on Boxing Day.
But on March 22, 2008, Fergie said it was “absolutely ridiculous” for managers and players to abuse refs.
He said: “We are talking about respect for referees at grassroots level and I think that is absolutely correct.
“The haranguing of referees is absolutely ridiculous — we know that. It’s not right.
“We see it as an issue. Since the situation with Andy D’Urso (when the ref was blasted by Roy Keane, Jaap Stam, Nicky Butt, David Beckham and Gary Neville in 2000), we’ve not done anything like that.”
FOOTBALL fans around the country were up in arms last night as Alex Ferguson escaped an FA rap for haranguing referee Mike Dean.
Fergie steamed into Dean, his linesman AND the fourth official before the start of the second half for his decision to allow a Jonny Evans own goal during Manchester United’s 4-3 win over Newcastle.
The strike had initially been ruled out because Newcastle striker Papiss Cisse was given offside by assistant Jake Collin.
But after Dean consulted Collin, it was decided that Cisse was not interfering with play — and the goal was given.
Sun readers stormed our website with 18,000 replies last night as we asked whether Fergie should be punished by the FA.
A resounding 58 per cent were adamant that the United boss should have had the book thrown at him.
But because Dean did not report Ferguson for his behaviour, the FA yesterday confirmed that they will take no action.
Dean’s decision to chicken out was in stark contrast to how he treated Arsenal boss Arsene Wenger at the same ground three years ago.
Wenger was sent to the Old Trafford stands by Dean for kicking a water bottle in frustration after he thought his then Gunners striker Robin van Persie had scored a late equaliser.
United won the game 2-1 and afterwards Wenger observed wryly: “I didn’t know kicking a water bottle was not allowed.”
Match of the Day presenter and former England international Gary Lineker was among those who questioned Ferguson’s behaviour.
Lineker said: “That doesn’t set a great example, does it, haranguing a referee. He’s not really mellowing that much in old age, is he?”
MOTD panellist and SunSport columnist Alan Shearer replied: “What he is doing is putting pressure on referees and the fourth official as he wants some decisions to go his way in the second half.
“You can see Fergie is incensed. He makes his feelings known towards the referee, linesman and fourth official.”
It was not as if Ferguson was on solid ground with his complaint.
He argued that Cisse had pulled Evans back in the build-up to the goal when replays showed it was the other way round.
Shearer added: “He’s actually saying Cisse is pulling him back but he isn’t.
“Jonny Evans, if anything, is pulling Cisse back.
“Fergie is absolutely livid because he thinks it is the wrong decision — but I don’t think it is.”
Yesterday, Newcastle boss Alan Pardew broke ranks and insisted Dean was wrong not to report Ferguson.
He said: “Mike Dean might feel slightly disappointed he didn’t do something about it because the pressure on the officials is tough to take for a referee.
“Sometimes when you reflect on a game and look back on it, maybe you might have acted differently.
“We do that as managers and I’m sure he might think that as a referee.
“Of course, it’s an emotional game. Apparently they had a cordial discussion. I’ve had a few of them myself but sometimes ended up in the stands with that cordial discussion.”
Former Premier League ref Dermot Gallagher also said Fergie had got it wrong. He explained: “The law says interfering with play means touching the ball and there is no doubt that Cisse did not touch the ball.
“If anything, Jonny Evans touches Cisse. He is not in the goalkeeper’s sight and not interfering with Evans.
“The Manchester United players do not appeal for offside as they are brought up with the modern directives, they accept it is a goal.”
The Premier League also confirmed that it was right to award the goal.
A spokesman said: “As Cisse did not play the ball he was not interfering with play. It is also the case that Cisse did not interfere with the opponent.”
James Perch put Toon ahead in an epic Old Trafford clash.
Evans then scored at the right end before his own goal gave Newcastle the lead again.
Patrice Evra made it 2-2, then Cisse put Newcastle in front for a THIRD time.
But a Van Persie leveller and Javier Hernandez’s 90th-minute goal broke Toon hearts and gave United a priceless 4-3 win.
MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-78118742716842803222012-12-27T10:13:00.002+00:002012-12-27T10:13:19.240+00:00Transifomaaa! TUTASHINDA!mzee wa Upako, ulithubutu, ukanena, tumeona!!! (pat on yr back!!!)MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-22481476176787961592012-10-16T13:44:00.001+01:002012-10-16T13:50:19.182+01:00Wabunge wetu na Posho mfukoni!!!!Sheria mpya ya kuzuia malipo ya mafao, mwanasheria mkuu wa serikali alisema ilifikishwa bungeni na vufungu vilivyofutwa vilitajwa kwa namaba. inaonekana hakuna mbunge hata mmoja aliyefanya-homework kujua namba za vifungu husika vinavyofutwa vilikuwa vinahusu nini!!!!! ajabu sheria ilipoanza kutumika, wabunge wakawa wa kwanza kulaumu na kuikataa na kutishia kuleta hoja binafsi n.k. ili kupinga matumizi ya sheria mpya!!! swali langu .... mlikuwa wapi wakati imeletwa na mkaipitisha?? manebo na minong'ono ikaanza kuwa serikali imeingiza vifungu vipya "kinyemela", lakini mwanasheria wa serikali akatoa kauli ya serikali kwamba ilipitishwa na bungeMOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-49642482352228314092012-09-26T10:50:00.001+01:002012-10-16T13:48:50.114+01:00Gambooo! (Gamble), Courage or Anointing?Mzee wa Upako, amefanya maombi - YAMEJIBU! El Nino mwezi wa ujao (Oktoba) HAIPO!! tena amesema kwa herufi zote kubwa! (ila ameongeza kwamba: bondeni hameni na Red Cross endeleeni na maandalizi maana ni kazi yenu lakini El-Nino imeshayeyuka!!!)
Huyu ndiye Mzee wa Upako (Transfoma!!) Kanena bila kutafuna maneno, na kama el nino itakuja yuko tayari kufunga kanisa na kurudi kijijini!
Msemo wa Alan Hansen wa BBC One 'Match of the Day' ........... gamboo...! akimaanisha washambuliaji ku'gambo' ktk kuingia positions kubahatisha pasi za kumalizia mpira (tap-ins)
(To be fair, amesema wazi
kuwa mvua za kawaida za vuli zitanyesha lakini si kwa kiwango kikubwa cha el nino!!!!!!!)
Is it a GAMBLE? Only TIME will tell, folks!!!
(SOURCE: Channel Ten TV (Tanzania), Saturday 22/September/2012 around 21:30)MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-65713799228517701512012-09-05T15:53:00.000+01:002012-09-05T15:53:14.246+01:00'I am Back!!'niko hewani wapendwa!!!
(kichwa cha habari nimem-quote Didier Drogba 2007/08 alipofunga goli mechi ya kwanza baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu!)
NB: Mr Frank Kubwera (pole sana mheshimiwa, tutawasiliana)MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-5325017270348431462011-07-26T09:10:00.003+01:002011-07-26T09:15:48.610+01:00TwendeMambo yalivyo Vs. Jicho langu - kama niyaonavyo.

1. Uwanja wa Taifa (England), Wembley v. Uwanja wetu wa Taifa.

ITAENDELEA!!!!!
.....MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-39372716192260454492011-07-15T14:20:00.004+01:002011-07-15T14:37:10.784+01:00BwT: A fountain of Wisdom and source of InspirationBaba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, at Sokoine Stadium Mbeya on May 01, 1995 said,

'Duniani kuna watu maskini na watu wasio maskini, lakini umaskini mbaya kuliko wote ni umaskini wa mawazo - mbaya sana.

Duniani kuna kutegemea, unaweza kutegemea, na kutegemea wakati wote ni kutegemea kubaya sana lakini kutegemea kuliko kote kabisa kabisa ni kutegemea mtu mwingine kwa mawazo, ni kutegemea kwa ovyo sana. kunakunyima utu wako.

Watu tunashirikiana mawazo lakini mawazo ambayo waziwazi ni ya kijinga lazima tuyakatae, kwa sababu mtu mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbavu usipoyakataa anakudharau.

... udogo wa mawazo ... umaskini wa mawazo ni umaskini kupita wote kabisa kabisa ....'MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-3394167117461762452011-06-21T09:37:00.001+01:002011-06-21T09:39:02.440+01:00Usiku na Mchana!Leo 21/06/2011, Usiku ni Mrefu kuliko Mchana huku Afrika, wakati kule Ulaya Mchana unakuwa mrefu kuliko Usiku!MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-5019958523642803132011-06-21T09:31:00.003+01:002011-06-21T09:36:51.503+01:00Hongera HPM!!! (Kirumbaaaaa)Kwako Hamis P Madaki,

Nimesoma gazeti la michezo Champion la jana 20/06/2011 nikaona jina la Katibu Mkuu wa Kagera Sugar FC ni Hamis Madaki (CCM Kirumba).

Kwanza nimefurahi sana kuona mate wangu yuko ngangari ktk anga za kabumbu na anajishughulsha vilivyo!

Pili Hongera sana kwa mafanikio hayo! Endelea na juhudi kama hizo.

Ni mimi U/Taifa 756513371.MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-36714773313565383502011-06-21T09:15:00.005+01:002011-07-15T14:20:38.466+01:00Goodbye Goodluck!Recently I received sad news that my friend and class mate Goodluck Malle has passed away and was laid to rest on May 02, 2011.

He was my close friend whom we shared some jokes. For example the term NAACHO - a result of a night of jokes in a bus during our study tour in Moshi Kilimanjaro. That night the late Goodluck, Joseph Ringo and MNEC CCM E. Sannda made the whole class laugh forgeting the cold weathe of Moshi Town, that is when the word NAACHO started. We continued joking NAACHO everytime we met in the corridors of 'A wing' High Cost building where Goodluck was living Room No. 15. I used to live in Wing B. He used to help in whenever I faced difficulties academically.

One time Goodluck attempted to STOP Smoking for several months, but finally he gave up and told me that he has failed his attempt to quit cigarrets! He used to smoke Embassy or SM! He used to joke that the effect of lung cancer is minimal as it might take someone's period of lifetime to show up any symptoms!!!

It is even sad that he has gone without saying goodbye to most of his friends including me. I will always remember him for his contribution to everyone around him because he never hesitated to listen to any call!

Goodbye, NAACHO!!!!!!!!!!!!!!

(PS: I have writen this in a great hurry - in Mby Town)MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-82530085057553238662011-06-21T09:07:00.003+01:002011-06-21T09:14:38.011+01:00HESHIMA KWENU: classmates, walimu/afandes/lecturers wangu woteMY CONTACT: 756 513371

PART ONE: WANAFUNZI WENZANGU:

A:
Baranga S/Msingi, Musoma (V): Darasa la I, II-VII
Iselamagazi S/Msingi, Nindo, Shinyanga (V): Darasa la I (part of).
Mapinduzi S/Msingi, Mugumu, Serengeti: darasa la II (part of).
Mkondo wangu: Darasa la I-VIIB.
Anuani ya shule: POBox ... Musoma, Tanzania.

01. Marwa Richard Nyamonge -mkondo B Tambaza Sec, Mazengo H/Sch.
02. Juma Marwa Chogoro -mkondo A Azania Sec, Usagara H/Sch., IFM, TZ Posts
03. Ms Naomi Matutu Baruro -B; Bwiru Girls, Rugambwa H/Sch., Marangu TC, Igunga Sec
04. Ms Mbusiro Michael Kehengu -B
05. Ms Rhobi Chacha Mosenye(?) -B
06. Chacha Nyamonge -Std VIA akahamia Sisimba S/M Mbeya, CBE Dar, Police Dar
07. Ms Severina Joram Nkenge -Std VIIA
08. Ms Nyamahemba Washiki -B
09. Ms Wesiko Marwa (monita std I-III) -B
10. Mwita Gati -B
11. Ogunya Mkama Ogunya -B
13. Ms Bhoke Magabe -B
14. Mtatiro Marwa Tienyi -B
15. Ms Bhoke Nyakorema -B
16. Ms Rhobi Msoba -B
17. Chacha Nyamaranya -A
18. Ms Nyawasha Machela -A
19. Ms Elizabeth Wanda -A
20. Marwa Gati -A
21. Ms Bhoke Sarya Mrisya -A
22. Charles Messanga -A
23. Mwita Magabe -A
24. Ms Bhoke Magweiga Kisyeri -B
25. Charles Kisyeri*-A
26. Chacha Mwita -A
27. Chacha Mwita -B
28. Mwita Mashauri -B
29. Chacha Mashauri -A
30. Mwita Marwa Kisyeri -B
31. Mwema Mnanka Samo -Std IVB akahamia Kongoto
32. Musoma Wanda* - Std VIIA
33. Ms Wegesa Wambura Nyakubhilela* -A
34. Ms Ghati Magweiga Kisyeri* -A
35. Ms Scholastica William -B
36. Laurent John-B
37. Buhuru (Uhuru) Samson -B
38. Ms Kichele Gati -A
39. Ms Kichele Magige Bwana -A
40. Ms Bhoke Kiginga -A (Bibi Afya)
41. Ryobha Chacha
42. Juma Mgusuhi (Kamba) -A
43. Nkombe Maswi Ketenta -B
44. Ms Mkami Maswi Ketenta -B
45. Ketango Washiki -A
46. Charles Fanuel Namba -B hadi std IV walipohama
47. Ms Robi Marwa Mwita 'Nyamaghuli' Drs I-IIIB -Dada
48. Ms Ghati Nyisane 'Seleghai' Drs IA -cousin
49. Mwita Makori -A
50. Kimwama -B, up to IIIB?
51. Mwita Marwa -B
52. Ms Gati Mnanka (d/o Robi Kisima) -B
53. Maswi Magere -B
54. Mwita Marwa Nyangwe -B
55. Alan Christopher -(classmate) (Iselamagazi P/Sch., Shinyanga Rural)
56. Marco Francis -(classmate) (Iselamagazi P/Sch)

B:
Musoma Secondary School. Musoma. Kidato cha: I-IV
Mkondo wangu: Kidato cha IB, IIB, (IIIA, IVA -Additional Maths)
Bweni langu: Amri Abeid, first cubicle (LHS) after Common Room
Anuani ya shule: POBox 54 Musoma

01. Haruna Mohamed 'Voice' -Shaaban Robert from Kamunyonge -Musoma, UDSM
02. Deogratius Mwema Thomas
03. Nyanda Gapale
04. Raphael Jowel - , from Lamadi
05. Venance Ndunga 'Power' - Boss wa 'bwalo', from Magu, Sokoine University
06. Paul Mshimo -Tosamaganga H/Sch., BoT
07. Paul Kamalamo - ,UDSM
08. Leonard William Fweja -Amri Abeid, Tosamaganga, Sokoine Uni, Reading Uni UK
09. Marco Waryoba -Mkwawa Uni
10. Ponsian Constantine -S/Robert
11. Emmanuel Ernest (baba...shibhe!)-S/Robert, Mbeya Tech. College
12. Muungano James 'Bom-Bom' -S/Robert (midfielder wa shule -football)
13. Sophareth Magessa Kataso (Master of Ilele -'irrelevant') -Makongoro
14. Niva Michael -Lumumba
15. Maulid Gakole -Amri Abeid
16. Robinson Magambo -A.A
17. Patroba Materere -S/Robert
18. Kasambalala Evarist* -Lumumba
19. Kizito Nkwabi- Lumumba
20. Alfred Andrew Auma -Mkwawa
21. Yusto Sylivester 'VC' -CBE DSM,
22. Mayunga Ng'home -Amri abeid
23. Kicheche (kamnyama) - A/Abeid
24. (Super Short) Nyasanda -
25. (?) Bondo -
26. Marwa Kenani - Amri Abeid
27. Msafiri (Traveller) Mchemba-A.A
28. Chongo Cosmas -
29. Bartazar Chilato -Amri Abeid
30. Aruni Kitomwa (Form IB)-A.A
31. Zakayo Richard* -Makongoro
32. Makubi Mabusi -A.A; I,IIB; III,IVB Arts
33. Daniel Matiko Werema Mwita -Mkwawa. From Nyamelambala, Tarime
34. Josiah Zephania -Mkwawa. From Bungulele, Tarime
35. Chacha Magita -A.A From Tarime
36. Chacha Makubo - From Magoto, Tarime
37. Juma Simango -A.A From Ngoreme, Serengeti
38. Mapinduzi Wambura -Mkwawa from Nyamatare, Musoma
39. Mtete Bega -
40. Maira Maira -(only Form IB)
41. Kisika Mugire - (only Form IB)
42. Bernard Malebo (Mugendi) - , UDSM, Poverty Africa Mbeya
43. Deogratious Malamsha -A
44. Basole Thomas - C Pure Science
45. Vedastus Ambrose - went for CBA Kibaha High School
46. Charles .... - C Pure Science, Land Surveying Ardhi Institute
47. Lumanija -
48. Thobias Barongo -A, C Pure Science
49. Robert John B, C Pure Science

C:
Mazengo High School, Dodoma. Kidato cha V-VI
Comb. yangu: PGM
Mkondo wangu: G3
Bweni langu: Mwongozo,
Chumba changu: No.9 Down (Form V) & Room No.14 Down (Form Six)
Anuani ya shule: POBox 47 Dodoma

01. Maulid Gakore, PGM- Mwongozo, G2 'Ndagada' (dorm. mate, also from Musoma Sec)
02. Bosco Kitura, PGM-Azimio
03. Alphonce Kiheri, PGM-Muungano G2 UDSM, NSSF, BoT
04. Shadrak Metili -PGM, G2 UDSM, NSSF
05. Manyama -PCB Mwongozo
06. Shija Kasandiko -PGM, G3
07. Emmanuel Mabirika ('mabilauri')-PGM, G3
08. Mwakyembe -PGM, G3
09. Deosdadit Hokororo -PGM, G3
10. Arnold Masaro -PGM, G3
11. B Chagula -PGM, (President, students' govt)
12. John Danda -PGM, G3. British Council, DSM
13. Wilfred Amaniel Mmari -PGM, stream G2 (room-mate no.09Down, no.14Down), UDSM
14. Siston Makafu -PGM, G3
15. Samson Sesani -PCB
16. Michael Ndaskoi -PGM G3
17. Fikeni Yona -PGM G2 (roommate No.09D, No.14D)
18. Ruta -PCB
19. Ali Jonas?? - PGM G3
20. Charles ... -PGM, G3 (from Mby)
21. Rozam ... -PGM, G3 (from Mwakaleli, Tukuyu)
22. Adrian Mwanuke* -PGM, G3 UDSM, BoT
23. Baldwin Chilumba -EGM from Chidya Sec.
24. Daniel Lohay -EGM from Mbulu (Iraq(??))
25. Mchomvu -EGM
26. Roman - PGM, G2; Sectretary Students' Govt, UDSM (Law)
27. Sylivester Tati -PGM G2
28. Matata Tungaraza -EGM
29. Silaji Kapyolo -PGM
30. Stanley Mihayo -PGM
31. Primus Herman -PGM

KURUTA (SERVICEMEN/WOMEN) WENZANGU

D:
MASANGE & LUWA JKT
Kombania yangu: C-Coy (Masange, Tabora) & B-Coy (Luwa, S'wanga).
Anuani ya kikosi: POBox 14 Tabora.
Anuani ya kikosi: POBox ... S'wanga, Rukwa.

01. Alphonce Kiheri B/C Coy- Masange/Luwa
02. Robinson Magambo HQ/B Coy-Masange/Luwa, Musoma Sec
03. Jumanne Kasanda -Masange/Luwa
04. Ms Happyness Temu a/A Coy- Masange/Luwa
05. Ms Isabela Akaro B Coy- Masange
06. Ms Audrey Komeka B Coy- Luwa
07. Bosco Kitura Masange na Luwa
08. Ms Elizabeth Fanuel Namba -Masange
09. Kipii -Masange/Luwa
10. Ms Devotha John -Masange/Luwa HQ Coy, UDSM
11. Yudas Msangi -Masange

E:
Architecture, Ardhi Institute/UCLAS
Kozi yangu: Architecture
Anuani ya Chuo: POBox 35176 DSM

Huruma Nkone (now Mchungaji Victoria Church!)
Gozbert Kakiziba
Eliah Mpembeni
Emmanuel Ngadu
Emmanuel Naikara
Benjamin Maula
Ms Yvonne Ketang'enyi Matinyi
George Raiton
Ms Veronica Peter Otaru
Ms Scolastica Mandwa
Robert Chuwa
Raphael Mbabu
Ray Sitti
Mathew Mwakagamba
Shempemba
Ms Joyce Romwald
Maro
Ernest W M Makale
Hamis (Patrick) Madaki -'CCM Kirumba' Katibu Mkuu - Kagera Sugar FC
Rajabu Mazora
Patrick Mgeni
Richard John
Fulgence Kibiki

Goodluck Malle (Marley???)*
Ms Amina Abdalla
Joseph Ringo
Rajabu Mazola
Mgeni
Vasco Bokella
Edwin Sannda
Fadhili Msemo
Emmanuel Nyengo
Idd Ally
Aidan
Ms Nneka Minja
John Makoye
Ally Simbano
Ms Levina Alexander (Boojo!! Waitu!)

PART TWO: WALIMU WANGU

A:
Baranga S/Msingi, Darasa la I-VII.

Fanuel Namba (FN) -English (Mwalimu Mkuu wa kwanza hadi 1980)
Makaranga Kubwela (MK) -Kiswahili
Nyafungo Kubwela (NK) -Sayansi Kimu (dada wa Makaranga, baadae mrs CW)
Amas Joseph (AJ) -English, Sayansi (Mwalimu Mkuu 1980-86)
Chacha 'Mbegete' Jasson (CJ) -Siasa, Michezo, Kiswahili
Chilemeji Wilson Mabuba (CW) -Kiswahili, Hisabati, English
Telesphory Paschal (TP) -English
Flora Matutu (FM); Mrs Amas Joseph -English
Leonidas Lwehumbiza (LL) -Sayansi
Robert Makuna (RM) -Jiografia
Obedi Mangunu (OM)-Kiswahili
Mwita Nyamhanga Obonyo (MN)-Sayansi Kimu, Jografia
Tui Nyamhanga Obonyo* (TN)-Kiswahili, Siasa
Mwita Magweiga Kisyeri (MM) -Hisabati
Daudi Sira 'Philipo Daniel' (DS) -English, Siasa
Marwa Nyansembe (MN)-Hisabati, Kiswahili, Jiografia
Mzee John (father of Laurent John) -Dini
Sisikwa Sisikwa (brother of Buhuru Sisikwa)-Dini
Mzee Majinge -Iselamagazi, Nindo

B:
Musoma Sec. School (MUSS), Kidato cha I-IV

1.English
-Mganga
-Bulongo
-Mwombeki
-Matutu (Literature, 'Sons and Daughters' by Camara)

2.Physics
-Ms Rwango
-Johnson

3.Biology
-Mrs Mwita
-Mathias

4.Chemistry
-Fundisha AN
-Laban

5.Agriculture
-Wambura
-Seleli
-Swai
-Mmari

6.Geography
-Mrs Wambura
-Kagosi
-Rugaimkamu (Regional Geography Form IV)
-Jamhuri

7.Kiswahili
-Malima (Mzei)
-Kisaka

8.Additional Mathematics
-Msagasa
-Nyonda, from Usagara High School

9.Basic Mathematics
-Lugai*
-(Bondowe)

10.Siasa
-Maningu

11.History (I&II)
-Malima
-Mganga

Headmaster: Nashon Otieno Otuolo
Second Master: Kaishozi
Librarian: Otieno

C:
Mazengo High School (Dodoma), PGM, Kidato cha V-VI
1.Physics:
-Abraham Nyanda
-Mrs Kafumu

2.Geography:
-Sanga

3.Advanced Mathematics:
-Ms O'Connel (from Boston, US)
-Mwinuke (also academic master)

Headmaster (Mazengo): Sylivester Mkoba*

D:
Maafande wangu JKT, (Masange na Luwa)
Lt.Col Lorry -CO, Masange
Ssgt Mluya -Sirmajor wa Kombania C-Coy
Sgt Kazoba -C-Coy Masange, Catch phrase: 'Kuruta umeona picha yangu kwenye stempu?'
Cpl Kashandago C-Coy (mjongomeaji!!)
Cpl Kimaro
Lt Majani -OC, A-Coy Masange

Lt Nyenyema* -QM, Luwa
WWII Salum, Luwa
Ssgt Lucas Chacha, Luwa (Mzee Wangu)
SSgt Dawson, Luwa
Sgt Edward, Luwa
Cpl Mrope, Luwa
Cpl Ndunguru, Luwa
Cpl Misigaro, Luwa

E:
Ardhi Institute/UCLAS

Lazaro Peter C1 III, C6 III; C9.1 I
A Mosha C1 I, II; C6 I; C9.1 I, II; C15 IV
Gillya C2 I, II, III; C9.1 V
Simon Mhando C3 I; C4 III
Nderimo C4 I, II
Cyriacus Lwamayanga C5.1 I, II, III; C5.2 II(part); C9.1 I; C13 IV; Field training I-III
Kyomi* C5.2 II(part)
Z Moshi C5.2 III, IV; C10
Lekule C6 II, C9.1 V, C11 IV (Head of Department 2)
Mkonny C7 III, C9.1 III (Head of Department 1)
K A W Byabato C5.3 I, II; C15 I
Mattesso C8 II, III(part of), IV; C9.1 II
Mandwa (of URP Dept) C8 III(part of)
L B Bulamile C7 II, IV; C9.1 III
Kajuna* C9.1 I, C9.2 I
L Mosha C9.1 IV, C10
Liberatus Mrema C9.1 II, IV; C14 IV
Adrian C5.2 II
Tirio Manga C1 I; C9.1 I
Ms Eliofoo C12 III
Mwakipesile C1 IV
Dr. F S Lerise, C17 (Head of Department 3)
Kimati, C18 I
Joseph Karwima, C12 III
Eng. George Mwaluko (Mech.Eng.UDSM), C5.3 IV
E A Kimaryo, C8 II
Ndoloi (UDSM) C17 III
Alfred Mwenisongole C17 I/II(?)
...(part time lecturer) C7 V
...(part time lecturer) C12 IV
...(part time lecturer, from UDSM) C4 IV
...(part time lecturer, from Min. of Lands HQ) C8 III(part of)
Kai.?. C12 II

Course Codes, unofficial:
C1. Theory of Architectural Design (Principles of Design)
C2. History of Architecture
C3. (Engineering) Mathematics
C4. Theory of Structures
C5.1 Building Materials
C5.2 Building Construction
C5.3 Building Services
C6. Environmental Science
C7. Professional Practice
C8. Settlement Planning
C9.1 Design studio
C9.2 Design Art and Presention Technique
C10. Dissertation/Thesis
C11. Urban Planning
C12. Building Economics
C13. Architectural Conservation
C14. Landscape Architecture
C15. Interior Design
C16. Workshop
C17. Research Methodology
C18. Sociology

*passed away, according to the information I have.MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-33056578472966695292011-04-27T09:11:00.003+01:002011-04-27T09:14:57.133+01:00Tofauti ni nini?Kuna kipindi unaomba contacts za watu, unawatafuta sana!

Kuna wakati watu wanakuomba contact yako, wanakutafuta sana!

(Can you spot the difference?)MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-47137075476723152662011-04-13T14:27:00.003+01:002011-04-27T09:11:06.271+01:00'Chagua KIKWETE'Tukuyu, Agosti 31, 2010
Ilikuwa ktk tafrija ya birthday ya rafiki yangu Fujii kutoka Japani wakati harakati za kampeni uchaguzi mkuu zimepamba moto. Tafrija hiyo ilifanyika ktk mgahawa ulio opposite na ofisi ya ccm wilaya.
Fujii akaona bango la kampeni limeandikwa 'Chagua Kikwete' likiwa na picha ya JK!

Akaniuliza;
'so "Kikwete" is his surname?',

nikamjibu yes.

Akauliza tena, 'and "Chagua" is his first name?'

(sina mbavu!! Nilicheka kwa kweli kabla sijamuelemisha. Hii ndo Lugha Yetu ya Taifa!)MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-89493814905650011622011-01-25T11:17:00.004+00:002011-04-27T09:04:43.099+01:00New BornIt must be good news!!!!
An enterprise with branches in Dar es Salaam and Mbeya (Tanzania)has been inaugurated.

I thought that it's high time now to throw myself into the sea of entrepreneurship. It is somehow a gamble but who knows ....!

Please do not forget to include this one in your Prayers!

E. M. Raphael,
EDISONS (TM)MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-9402931415516783772010-12-31T10:03:00.003+00:002010-12-31T10:06:22.850+00:00Happy Birthday Sir Alex!I wish you a Happy Birthday (today), Sir Alex Ferguson!!!!MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-9311348720681708022010-09-04T10:16:00.002+01:002010-09-04T10:19:17.123+01:00What Others Say About My Blog: A Big 'THANK YOU!'"I have been visiting various blogs for my term papers writing research. I have found your blog to be quite useful.
Keep updating your blog with valuable information... Regards"MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-1722582257638895272010-07-29T15:46:00.004+01:002010-07-29T16:05:59.108+01:00Bongo in 3D!!!!!Hivi karibuni (miezi kadhaa hivi iliyopita) nilienda Mwanjelwa jijini Mbeya kutafuta/kununua tv. Baada ya kupitapita nikafika duka moja na nikaipenda tv moja aina ya hitachi. nikaomba waniletee mpya (siyo ya display window). Jamaa mwenye duka akaleta moja ya hitachi. Tatizo likawa hiyo tv iko ktk box la tv aina ya Ouling(?) -made in China na remote yake haikuwa na nembo/brand ya hitachi. Nikaikataa tv na kuondoka!
Kesho yake nikaamkia mji wa Tunduma mpakani na Zambia. Nikaingia duka moja linaloaminika mji mzima. Baada ya kupitisha macho huku na huko nikapendezewa na tv aina ya philips. Nikaiagiza waniletee. Nikasubiri wakaichukue 'stoo' na baada ya kama nusu saa baadae ndo mtu akaibuka nayo!
1. ilikuwa ktk box la tv aina ya ouling - made in China!!!
2. ikawekwa mezani - testing time (nayo pia ilikuwa na nembo 'pure' ya philips). alipoiwasha tu ile rangi ya bluu ikatokea ikiwa imebeba jina la 'HITACHI'!!!!
3. baada ya kuuliza kulikoni philips inaandika hitachi ktk kioo wakajibu: ukitaka tunaweza kukubadilishia nembo na kukuwekea ya hitachi ifanane na hayo maneno.
Kumbe tv huwa zinaingizwa hazina majina yaliyobandikwe pale mbele, ila maneno hayo nayo huagizwa separately (kwa magendo)na kuja kuwabambika watu Bongo!
Kumbe kule kuchelewa kote kuleta tv walikuwa wanagundisha kialama cha philips kwenye tv maana hata gundi ya superglue ilikuwa inaonekana kama ukichunguza pale kwenye jina la tv na pia walikuwa wamepindisha kidogo maandishi hayakuwa ktk mstari sambamba!

hii ndio Bongo Bandugu! Usidhani tv mpya unayonunua ni brand kamili uliyokuwa unaifikiria (kama umenunua tv mpya Bongo).

ABIRIA CHUNGA MIZIGO YAKO! MALI IKISHANUNULIWA HAIRUDISHWI!
..............................................................MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-91211767665432407012010-06-21T15:37:00.004+01:002010-06-28T13:55:54.573+01:00Beautiful Britain: One year On!Sub: The Cornerstone of Civilization and Development.

Great Britain is the capital of world and centre for civilization!

It is place where I learned a lot, especially about CIVILIZATION. Its people are civilized,developed as well as their culture, too. It is a tolerant society.

Democracy
Media and Celebrities
Infrastructure (Transport)
Sports and facilities
Security (CCTVs)
Food security and availability
-Big stores: Tesco, ASDA, Sainsbury's, Morrisons, Lidl
Towns and Cities
Local Government Authorities (and the way they fulfil their responsibilities and involve citizens)MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-34692484757134799382010-06-15T14:32:00.008+01:002010-06-21T15:37:02.838+01:00Beautiful Britain!What can I say abaout Great Britain? Nothing except praises, really!!

This is an island which, while you are there, you can not easily experience its small size! You might think that it is a big country or continent! Sometimes people think Britain is a place filled with houses and industrial parks - no green fields, open spaces etc. It is when you get there that you realise how it looks like! Just imagine the distance from Southampton or Penzance to Newcastle! You just travel long distances exchanging one motorway to another for almost the whole day! Along the way you experience the beauty and spectacular scenes of Britain, not to mention some thick forests like those of the Chilterns, Costwold, lake District, River Thames and its valley spanning almost the whole width of this Island!

What about London! Maida Vale Avenue (my smartest/cleanest street in London!) I walked along this street one day and wondered its beauty - wide road, good street planning etc! Hyde Park, the Serpent and long water views are the sceneries to remember. Exhibition Road, Cromwell Road, Piccadilly Circus, Westminster (Parliament Square and St Margreth Church/Westminster Abbey), MillBank, South Bank, Parliament View Apartments, the London Eye etc. are places attacted me most among others.

Underground London Trains (tubes) caught my eyes a great deal! The Wembley Stadium (Brent Borough Council, postcode: HA) and The Emirates (Arsenal FC home Ground) (Islington Borough Council famousily known by its first half of its postcode as N5) are places you should visit while you are in London.

How can I forget such days as those of Euro 2008 qualifiers; England v. Russia 3-0, England v. Israel 3-0, England v. Estonia 3-0, and friendlies like England v. German 1-2, Chelsea v. Man United 1 Marluda (0)-1 Giggs(3) with United winning on pens., the Community Shield March. All of these matches were played on the new Wembley Stadium! And just imagine you being among 90,000-plus fans watching these matches while sitting on the red seats of Wembley! Premier League games and Coca Cola championship matches involving for example Crystal Palace, Watford, Newcastle united, Aston Villa, Liverpool, Man United, Man City (seeing the rising stars like Joe Hart of Man City), Reading FC. and Rubgy matches like the likes of the London Irish, Sales. Concerts at Wembley of Diana 10 years and Earth Concert where P Diddy performed live. I had a priviledge to watch Sir Elton John's show at Madejski Stadium in Reading the other night.

I support England National (Football) team and Manchester United is the Club I support.

Since I left UK, I am still filled with good memories about this wonderful Island! I remember my friends from differnt corners of the world, for example Javier of Equador; Maurice, Iza, Zuzan from Poland; Space from Macedonia; Amur from Darfur Sudan; Mammadou Ba, Idrisou, Mohammed all from Gambia; B Coe of Berks, the Midwinter's family of Tilehurst, Tim of Woodcote, South Oxfordshire, England; Tiz from Torino Italy, my friends at High Wycombe (Buckinghamshire).

Special thanks and regards are due to this lovely family: Lameck, Rapha (Battle Primary School)and Dr. Ezra Chomete and Suzi) of Shaftesbury Rd, Berks.

God Bless you all incling those whom I haven't mentioned their names here! You were wonderful and made me always feel at home in the UK.

Thank you, again!!!
............................................................................MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-70448402932767137802010-06-15T14:20:00.002+01:002010-06-15T14:32:01.786+01:00Quoted: Prophet T B JoshuaIf you hear a Pastor, Preacher, T B Joshua, Bishop etc. saying 'this is what I hear from the radio, this is what I see on TV or internet ...' ... they are confessing their weakness.
Their weakness is that they are not linked with God!

A true christian knows his/her source of information ... the source of information for a christian is Holly Spirit. When you read the Bible you read Holly Spirit.
25/05/2010

I can be hapy as a christian when there is nothing to be happy about
12th April, 2010

The situation you are facing today may be ....
1. to prepare you for challenges ahead
2. to keep you for a new level in life
3. to preserve you for redemption
4. to strengthen you for desire
12/04/2010
.........................................................MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-83025667052114797582010-05-05T12:18:00.015+01:002010-06-15T14:20:37.424+01:00'Wewe Mungu Ni wa Ajabu' - Mchungaji Abiudi Misholi...................................
Wimbo: Wewe Mungu Ni wa Ajabu
Muda: Dakika 7 Sek. 46
Wimbo wa: 1 kati ya nyimbo 9
Mtunzi/Mwimbaji: Mch. Abiud Misholi (Faraja Band)
Album: Shuka Bwana Shuka (Nyimbo Za Kuabudu)
Mwandishi: Mosonga (Pamoja na msaada kutoka kwa Mch. Abiudi Misholi tar. 15/05/2010 ktk kuboresha mstari mmojawapo).

Wewe Mungu ni wa Ajabu, Fadhili zako ni za Milele.
Unastahili kupewa sifa, kwa kila hali na kila sababu.
Haleluya.

Nikifikiri maisha yangu, Mapito ninayopitia.
Taabu na shida, Kero nazopitia.
Ndipo ninapojua mimi, Wewe ni Mungu.
Ndipo nnapojua mimi, Wewe ni Baba.

Ukasema Abiudi, Nenda kanitumikie.
Nikasema siwezi, Sitaki Kukutumikia.
Dada yangu mgonjwa, Nyumba yenye majaribu.
Mama yangu huzuni kutwa, Mimi niache!

Ukaanza kunitesa Mungu, Pasipo sababu.
Ukaharibu biashara zangu, na kila nilolifanya.
Nikawa na maisha magumu, kula kwa taabu.
Madeni ni mengi, Sabuni taabu.
Nikataka kujiua, Maisha magumu.
Sina amani, vidonda vya tumbo.
Usiku silali mimi, Mawazo tele.
Maisha magumu mimi, mimi nifanyeje.

Ukajibu usijue, niende kukutumikia.
Na mimi nikakubali, kwenda kukutumikia.
Nikaenda kijijini mimi, kufungua kanisa.
Na mke wangu cheupe, na Noah mwanangu.

Oh! Nikikumbuka, nafika mbali.
Haleluya.

Nikafikiri matatizo, sasa yatakwisha.
Lakini badala yake, Matatizo yakaendelea.

Wewe ni Mungu ee, Mungu nakuabudu.
Wewe ni Baba, Sikuachi hata iweje.

Siku moja mke wangu, akiwa mjamzito.
Uchungu umemshika, Pastor ana 'Mia Hamsini'!
Mke wangu kwa uzuri, anasema mume wangu.
Nenda kakope pesa, nipeleke hospitali.
Nikajibu siendi, nimechoka kuombaomba.
Pesa za malalamiko, pesa za masimango.
Kama Mungu Ametuita, mke wangu tusubiri.
Kama Mungu Ametuita, Yeye Atutetee.
Saa kumi za usiku, mke wangu anajifungua.
Mbele ya macho yangu, Daktari mimi mwenyewe!

Wewe ni Mungu tuu, Wewe ni Baba
Haleluya!
Wewe ni Mungu, Wewe ni Baba

Ndugu yangu nataka nikuambie neno moja.
Mungu kumuelewa ni kazi sana, lakini endelea kumwabudu.
Usinung'unike!
Muheshimu na kumtukuza.
Iko siku Atakujibu.
Haleluya!

Wewe ni Baba. Wewe ni Baba. Wewe ni Baba. Wewe ni Baba.

Wewe ni Baba. (Wewe ni Mungu)
Wewe ni Baba. (Wewe ni Mungu)
Wewe ni Baba. (Wewe ni Mungu)
Wewe ni Baba. (Wewe ni Mungu)

Mungu wa Elia. (Wewe ni Mungu)
Mungu wa Isaka. (wewe ni Mungu)
Mungu wa Yakobo. (wewe ni Mungu)
Mungu wa Mwalengo (Wewe ni Mungu)
Mungu wa Misholi. (Wewe ni Mungu)
Mungu wa Jeremia. (Wewe ni Mungu)
Mungu wa Maliseli. (Wewe ni Mungu)
Mungu wa Licheli. (Wewe ni Mungu)

Ayubu alipata mateso,
Ayubu alipata Shida.
Mimi sio wa kwanza.

Mitume na manabii walipata taabu,
Walipata shida, lakini waliendelea kusema wewe Mungu ni Baba.
Katika matanuru ya moto wakasema Wewe Mungu ni Baba.
Wakawekwa magerezani, wakasema Wewe Mungu ni Baba.
Hawajaacha kukiri, kila mara wakasema Wewe ni Baba.

Mke wa Ayubu alicharuka, akasema Wewe sio Mungu.
Wewe Mungu ni Nani, Mungu gani mkorofi.
Mungu Umeua watoto wangu,
Mungu Umeua, Umeua mifugo yetu!
Mungu Unamtesa mume wangu,
Ayubu kufuru ufe mume wangu

Lakini Ayubu akasema Huyu ni Baba tu!
Hata iweje Huyu ni Baba!
Hata tutesekeje Wewe ni Mungu.
Tupate shida, tusimangwe, tuchekwe, tudharauliwe - Bado Wewe ni Mungu.
Wewe ni Baba, Wewe ni Baba tu!

Usimwache Mungu ndugu yangu! Hata ukitengwa.
Hata ukitesekaje, Yeye ni Baba Yako tu!
Mshukuru, Mwimbie
Tena saa nyingine hata Akikulaza njaa - ndio kwanza piga pambio.
Uko gerezani, Fanya kama Paulo na Sila. Piga Makofi.
Yeye ni Baba tu! Hata Iweje.
Haleluyah!

Wewe ni Baba, Wewe ni Baba, Wewew ni Bab, Wewe ni Baba.
Wewe ni Baba, Wewe ni Baba, Wewe ni Baba, Wewe ni Baba.

MWISHO!

Shukurani kwa Mch. Abiudi Misholi, kwa kunisaidia maeneo fulani ktk huu wimbo yaliyokuwa yananitatiza wakati naendelea kuuandika huu wimbo kutoka kwenye CD ya album yake.MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com0