Wednesday, 28 October 2009

Daadaa Dada ... (Dada), Dada huyooo...; (Ndaaga!)

Asante sana kwa salaam.
Wote tukumiss huku 47Shaftesbury.
Salimia familia na wengine huko Mbeya.
Suzy


.......................................
From: Ako Mosonga,
To: Tw-Tw (iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....!!!)

Salaam kwa Semeki Najambo, Meki na Rafa. Nawapendeni na ninavyowa'miss' (usipime!)

Nawakumbuka pia:-
-Mr and Mrs John Chommy, Mr and Mrs Samson Sesani (Palmer Park, Wokingham Road),
-Mama Na Baba Lenna (Hexam Sq. Newcastle Rd.),
-Robert Zungu na family, Maira (Beecham Rd),
-PZ (ako Bogendi) (King's Rd),
-Ms Luppa, Baba na mama Precious,
-Rx na familia,
na wengineo wote kabisa!
........................................

No comments: