Monday, 31 August 2009

Salaams!

Ziwaendee:
1. Ezra Chommy na family yake, wakiwa Shaft'bury Rd RG30, UK.
2. Zungu na family yake, Beecham Rd RG30
3. PZ (anko bogendi) na J.Gregory, King's Rd op. TVU, RG1
4. Baba Rx, Wolverhampton, Birmingham
5. Mama White, Manchester

Ujumbe: nawatakieni kila la heri, Mungu awabariki!

1 comment:

suzana said...

Asante sana kwa salaam, Wote tukumiss huku 47Shaftesbury.
Salimia familia na wengine huko Mbeya.
Suzy