Leo ni mwaka mmoja tangu mama Jojia aage dunia. Hiki kimekuwa kipindi kigumu kwa shemeji yetu Jojia pamoja na ndugu zake.
Lakini tunapenda kumhakikishia Jojia kwamba tuko pamoja nae ktk kumkumbuka na kumuenzi mama yetu mpendwa!
Familia yangu inaungana na shemeji Jojia (pamoja na familia yake yote na ukoo wote) ktk kumkumbuka mama leo.
Mwenyezi Mungu awape faraja wanandugu na jamaa wote.
Saturday, 14 June 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment