(SOURCE: Nipashe, 14/06/2008)
Mkazi wa Kasulu mjini Emmanuel Ndonya amenusurika kutiwa mbaroni na polisi baada ya kupatikana na noti mbili bandia zenye thamani ya Sh.20,000.
Aliiingia nazo katika benki ya NMB Kasulu kwa nia ya kuzihifadhi lakini alishtukiwa na alipobaini kuwa amenaswa alikimbia na kuziacha fedha hizo.
Noti hizo ni zenye namba AU 0326348 na AS 3067372
Saturday, 14 June 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment