Monday, 2 June 2008

Flashback: Back to June 2007

Usinichekeshe
Friend: Before my uncle became rich, he had nothing in his purse!
Bogi: My uncle didn't have even a purse!!!
(Courtesy: James Tumusiime, Bogi Benda)

Posted by MOSONGA at 10:25 0 comments
.........................

Thursday, 14 June 2007
Poleni Brother George na Shemeji Georgia
Nimepokea habari za msiba wa mama yetu mpendwa kwa masikitiko makubwa. Kwa kweli mama ameacha pengo lisilozibika.
Poleni sana Nyakaho, Adam & family, Maula, Nuru na ukoo mzima, ndugu na marafiki.
Mimi pamoja na familia yangu tuko pamoja nayi ktk kipindi hiki cha majonzi. Na nawaombea faraja na moyo wa ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
Mungu Awabariki sana.
Amen.

Posted by MOSONGA at 18:40 0 comments
............................

...nyumba jirani ...
Jaji mmoja mwandamizi amenusurika mvua (jela) baada ya kutuhumiwa kwa kosa la kum-flash mwana mama mmoja Oktoba 2006. Hakimu amesema kuwa mlalamikaji hakutoa ushahidi wa kutosha kutia hatiani mlalamikiwa.
Jaji mtuhumiwa huyo mkazi wa west London maeneo ya Wimbloden alituhumiwa kuwa ktk kipindi hicho Oktoba mara 2 alimvulia nguo za ndani dada huyo ndani ya treni. Ilibidi jaji atoe ushahidi kwa kutumia nguo yake ya ndani aina ya ck na kuonyesha ni jinsi gani ilivyo vigumu kumfunulia mtu maungo yake ya siri, tena ndani ya treni iliyojaa watu. Kwa hiyo huyo jaji alidai kuwa mlalamikaji alikosea kumtambua mtuhumiwa halisi (mistaken identity).
Baada ya hukumu Jaji na mkewe walifurahi na kusema sasa ataendelea na kazi yake kama kawaida maana jina lake limesafishwa.

Posted by MOSONGA at 18:31 0 comments
................................
Wednesday, 13 June 2007
Nukuu Za Mwalimu J K Nyerere
'Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo, ni umaskini mbaya sana'
Mwalimu J. K. Nyerere, 01/5/1995.

'Njia ya kwenda jehanam imejaa tele nia njema'
Mwalimu Nyerere, 1994

'Mtu mwenye akili akikuambia neno la kipumbavu -ukalikubali, anakudharau!'
Mwalimu Nyerere 01/5/1995

Posted by MOSONGA at 11:01 0 comments
...........................
Tuesday, 12 June 2007
Jicho kwa Nyumba Jirani!
UK wana mpango wa kuanzisha 'compulsory volunteering' kwa vijana. Watu wanasema hii ni 'morden version' ya JKT tuliyokuwa nayo kwetu!
Kwa sasa wanao utaratibu wa Community Service Voluteering (CSV) ambao unafanya kazi.


There is a call to scrap Tests for all children at 7, 11 & 14.
The General Teaching Council (UK) study say that exams are failing to improve standards and put children off school. Also teachers are being forced to 'drill' children to pass tests (for the sake of schools' good positions on the league tables) rather than giving a broader education.
According to the study, exams leave pupils in a state of panic.


UK wameandaa utaratibu wa madaktari (GPs) kupewa nafasi ktk maduka makubwa ili watu waweze kuwaona madaktari bila kukatiza ratiba zao za kila siku! Kwa maana hiyo mtu akienda shopping anamwona daktari dukani huku shopping ikiendelea. Watu wako 'busy' kiasi cha kusahau au kuchoka kwenda hospitalini!


England goes smokefree on July, 01, 2007. It will be against the law to smoke in virtually all enclosed public places and work places. If someone does smoke in public he/she could be fined or end up in court.

Posted by MOSONGA at 18:25 0 comments
Let's Share This
Diane Abbott, MP, has urged black Labour Party members to vote Jon Cruddas for the Deputy Labour Party Leadership post.
She said that he (Jon) will help ordinary black people and he's the change the Party needs. Other areas he will help include immigration and equal rights in employment especially on minimum wages and agency staffs to get equal treatment as permanent ones.

Posted by MOSONGA at 14:55 0 comments
'Nukuu'
'Mimi sina kigugumizi katika kutoa uamuzi wa haki kwa sababu si wakala wa mtu yeyote. Serikali lazima isimame upande wa wanyonge, ikisimama upande mwingine wanyonge hao hawana pa kukimbilia'.
-Rais Jakaya Kikwete, 23/11/2006.

'Kasi ya serikali kushughulikia kero za wanachi ikiwemo rushwa ni ndogo ikilinganishwa na maneno yanayotolewa na viongozi wa serikali'
-Sheikh Suleiman Gologosi, Mkurugenzi, Idara ya Dini Bakwata, 05/12/2006.

'Siri ya Ndoa ... imarisha upendo, utulivu, kuheshimiana (achana na tamaa za kimwili)'.
-Flora Wingia, Maisha Ndivyo Yalivyo, 17/9/2006.

'Defeat at Southend (1-0, Carling Cup) was a timely reminder of the importance of hardwork'.
-Sir Alex Ferguson, Manager Manchester United, 10/11/2006.

'Tensions between migrants and local residents of flashpoints include noise from migrants, accommodation, parking, street drinking, and driving standards'.
-Spending Watchdog (UK), 31/01/2007.

'Politicians are masters at promising and not delivering'.
-Wooly word, Daily Star, 11/6/2007

'You have to fight a lot in life but you come out of it stronger and better'.
-Justine Henin, French Open Champion (Women), 11/6/2007

'Something that doesn't kill you makes you stronger'
-Jordan, Crystal Palace FC Chairman 2004/05 (?)

Posted by MOSONGA at 14:37 0 comments
Monday, 11 June 2007
Mko wapi?
Tafadhali tuwasiliane popote mlipo, mie hapa ndio maskani.

1. Bosco Kitura - Mazengo na Masange/Luwa JKT
2. Marwa Kenani - MUSS
3. Zephania Mongo (Mosonga) - MUSS
4. Ernest Makale

And who else ... yes, you who reads this!!!!!!!

Posted by MOSONGA at 12:29 0 comments
Let's share this ...
How to take care of your few coins ...
1. budget properly
2. stick to budget
3. don't spend more than you earn
4. stop unnecessary purchase (careless spending)

Posted by MOSONGA at 12:25 0 comments
Happy Birthday/Anniversary
Jengo jipya la Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dodoma linatimiza mwaka mmoja hapo kesho 12/6/2007 tangu lilipofunguliwa rasmi mwaka uliopita na Rais Kikwete.

Posted by MOSONGA at 12:22 0 comments
Napendekeza ...
Mabango/vibao, ukubwa wa maandishi, rangi za kuonyesha majina na anuani za shule za msingi na sekondari za serikali Tanzania ziwe na mfumo mmoja (format/standard).

Posted by MOSONGA at 12:20 0 comments
I didn't know this, did you?
1. Everyday we take 21,600 breaths!

2. Eye tests are recommended every 2 years!

3. A human being have 2 sq.m. of skin (area) and that it weighs a total of 5kg!!

4. We shed 19kg. of skin in our life time!

5. Tony Blair's father was a Conservative (Torry) member who, at one time, wanted to contest for a Parliamentary seat through Torry ticket!!

Posted by MOSONGA at 10:49 0 comments
Thursday, 7 June 2007
Wise words
'The secret to happyness is accepting some miserable times are inevitable'
June 2007

Posted by MOSONGA at 18:51 0 comments
Tuesday, 29 May 2007
Wisemen and Wisdom
'You are not defeated on anything until you've given up; and that the worst sin is despair!'
Mwalimu J.K. Nyerere.

'Politics may be the art of the possible, but at least in life give the impossible a go'.
Tony Blair, PM (UK), 10/5/2007

Posted by MOSONGA at 11:41 0 comments
...............................................
...............................................

No comments: