Here are the FeedBlitz email updates for mosonga2002@yahoo.com
Kutoa mchango wako, tembelea tovuti yetu. www.jamboforums.com
-------------
I can not believe it, but peoples voices are now catching up in Tanzania. I am glad that some of CCM Wabunges have stepped up the plate and stood their ground against bullyiness of CCM leaders and those who have been abusing powers.
We now wait for Mwenyekiti and Rais to act!
Chenge Ona Aibu.........
Akiojiwa na gazeti la mwananchi, haya ndo maneno ya aliyekuwa mwanasheria mkuu baada ya iliyokuwa ofisi yake kuambiwa inashauri vibaya serikali.
"Hata Hivyo, Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge alisema kuwa Kamati hiyo imechukua vitu kwa ujumla katika masuala ya sheria na kwamba imeshindwa kusema ni kifungu gani kinamakosa na wangefanya nini ili kunusuru hali hiyo.
�Kamati imefanya majumuhisho tu uwezo wa vijana waliopo katika ofisi ya Mwanasheria Mkuu katika masuala ya sheria ni mkubwa, watu watashangaa kusikia Kamati hiyo imekisema kuwa Mwanasheria Mkuu alishindwa kutoa ushauri mzuri,"alisisitiza Chenge.
Richmond & Buzwagi Episodes: Who are the Murderers?
Natumaini kabisa hao walioitia nchi hasara ya mamilioni ya USD kupitia mikataba FAKE na RUSHWA ni WAUHAJI KABISA.........Shetani anawasubiri kwa mikono yote aliyonayo waende kuchochea huo moto wake huko motoni.
Sababu zangu za kuwaita ni wauhaji ni hizi hapa:
Hizo $$$$$$$$ walizoiba;
-zingetosha kabisa kuokoa maisha ya watanzania wengi tu wenye kuhitahidi madawa na tiba kwa magonjwa mbalimbali.
-ni jasho la walalahoi wenye kuhitaji huduma za maji, afya, njia za mawasiliano, uchukuzi, etc. Maelfu ya watanzania wanakufa kwa sababu ya ukosefu wa vitu hivyo.
-zingesaidia kusomesha watanzania kwa maelfu, na hivyo tungepata ma doctor, n.k. wa kusaidia kutibu wagonjwa, n.k.
Kweli tutaendelea kumkumbuka sana the ORIGINAL J.K (Julius Kambarage Nyerere). Tumuombee huyu J.K. wa sasa (Jakaya Kikwete) aendeleze kazi ya Nyerere ya kupitisha fagio la Umma, na kusafisha wizara zake zote.
TANZANIA tunahitaji kubadili sheria ya "RAIS HATOSHITAKIWA KWA KOSA LOLOTE LILE KIPINDI AKIWA RAIS AU KIPINDI AKIWA AMESTAAFU" That is ridiculous...Kama viongozi wetu ni wa kweli, basi wabadili hiyo sheria. Vinginevyo kila RAIS (mpaka sasa tuna hakika ni Nyerere tu ndiye ambaye hakuiba hela zetu) atakuwa na mazingira ya kuiba hela zetu.
Lini Wa Tanzania Wataachana Na Dhana Ya Kuadhibu Vibaka Wadogo?
Kila kukicha utasikia wananchi wenyehasira wamempiga/wapiga au hata kuwachoma Moto vibaka waliokuwa katika jaribio la kuiba/ au walioiba vitu kama simu, kuku n.k. vitu ambavyo hata katika sheria za Nchi yetu kifungo chake hakizidi miaka 2.Lakini hawa wanaoiba mali ambazo kifungo chake kinaweza kuwa cha maisha au hata kunyongwa hadi kufa wanaendelea kula pipi mtaani
Kinachoshangaza ni kwa hawa vibaka (Mapapa wakubwa) na huenda wasiwe tena mapapa bali Nyangumi kama kina EL, Karamagi, Rostam Aziz, Mkapa, Mramba n.k ambao uhalifu wao unagharimu maisha ya watanzania zaidi ya milioni moja kwa kwaka. Kwani kuna kina mama waja wazito na watoto wachanga wanaokufa kwenye vituo vya afya kwa kukosa huduma bora za afya. Ajali za barabarani kwa ubovu wa miundombinu
Kama kweli watanzania wanaweza kuwashughulikia vibaka wadogo wanaowasababishia kero ndogondogo katika maisha yao na kushindwa kuwashughulikia hwa vibaka wakubwa wanaohatarisha maisha ya jamii nzima ya Tanzania ni swali niliulizalo bila kupata jibu sahii. Hivi sisi watanzania tumeroga na nani?
Sitaki kuamini kuwa hatujui haki zetu za msingi ila tu tumekuwa waoga kwa hawa vibaka wakubwa na kusema eehwala Mungu atatulipia.
Ukifuatilia hali halisi ya siasa za nyumbani kama ingekuwa Nchi za wenzetu katika kikao cha maandili ya CCM kilichofanyika jana waandamanaji kutoka kila kona ya Tanzania wangeweka kambi Dodoma kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa kushinikiza kujiudhuru kwa Lowasa, Karamagi, Msabah, Rostam ,Hosea Mwanyika na wengineo. Lakini kwa watanzania kila mtu amekaa akisubiria uamuzi wa chama katika masuala yasiyo ya kichama.
Maana suala la ufisadi hatuwezi kulichukulia kama la chama bali ni suala linalaomgusa kila mtanzani mwenye itikadi tofauti.
Kinachotia uchungu zaidi ni watendaji wakuu katika masuala ya rushwa na Sheria Hosea na mwanyika nao wanahusishwa na sakata hili sasa nani atamfunga paka kengele?
Naomba kutoa hoja wana JF maana keyboard inalowa kwa machozi
This Is Our Hero - Dr Harrison Mwakyembe
I thought we should say a few words of thanks to our hero, Dr Harrison Mwakyembe.
Fellow Tanzanians, it is beyond reasonable doubt that he is a rare sort of politician in modern Tanzania.I dare say this guy has balls of steel.I can't be sure if he is for real, but I'm satisfied with his job so far - it's never been done before in the history of country [kindly remind me if i've forgotten].Of course we need to acknowledge the contribution of other commitee members who worked in his team and those who we ready to put their lives on the line as witnesses.
How many of our toothless MPs can brave threats and the financial prowess of big shots like Edward Lowassa and Rostam Aziz to come up with such a scientific report?
PCCB is as corrupt as the corrupt politicians it is pretending to be investigating.In fact Hosea [the head of PCCB] and company have promoted more corrupt practices than they are mandated to stop.
Now the ball is on the court of the man holding the highest office in the land -the President.He needs to maximise on this opportunity, to put the kero of wananchi out of his way once and for all - and set a precedence.
However, more work needs to be done to root out corrupt government officials.But,again let's not forget to protect our heroes, we need them for the sustainability of our nation.
Next Is Mkapa..
Kilichotoke leo kimetupa moyo. Kwa mara ya kwanza katika muda mrefu sana tunaona Watanzania wanaamka. Kwanza alisupress the findings of the Warioba Commission. Akaficha maovu ya marafiki zake kina Andrew Chenge... Aliwaudhi watu waadilifu kama kina Jaji Mfalila, kina Warioba n.k.
Mkapa aliforce ununuzi wa ndege ambayo haifai kutumika kwa kuwa presidential trips zinakuaga na watu kati ya 45-50. Gulfstream G550 is too small to accommodate that many people. Alikua anataka apate ka 'samsing' cha kuritaya nacho. (billions)
Mwanyika Na Hosea.. Itakuaje??
Sasa embu niambieni wana JF, HOSEA na MWANYIKA ambao report imepropose wawajibishwe... ni part of the 3 man team ya kuchunguza BOT and kuprosecute mafisadi wengine. Sasa itawezekana kweli kistaili hiyo???
Na japo hawata badilishwa, can there be imani na Uchunguzi unaoendelea dhidi ya wahujumu wa BOT and them being taken to task?? Inaonekana Saidi Mwema is the only one that is left relatively 'clean'....!!
source: jambo-forum(JF)
Friday, 8 February 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment