Monday, 19 November 2007

Malikia atimiza 60 ktk ndoa

Malikia wa Uingereza kesho anatimiza miaka 60 ya ndoa tangu alipooana na Prince Philip mwaka 1947. Wakati huo malikia alikuwa binti mfalme na alikuwa na umri wa miaka 21!

No comments: