Mkutano Mkuu wa CCM wa Nane umemchagua kwa kishindo Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake wawili kutoka Tanzania bara na visiwani.
Matokeo:
Mwenyekiti Taifa, Rais Kikwete aliibuka kwa
kura za NDIYO: 1,887 (99.73%) kati ya kura 1,892 zilizopigwa.
Kura za HAPANA: 5
Hakuna kura hata moja iliyoharibika.
Makamu Mwenyekiti Tanzania Visiwani, Rais Amani Abeid Karume,
kura za NDIYO 1,886 (99.68%)
kura za HAPANA 1
Kwa upande wa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara, Bw. Pius Msekwa
kura za NDIYO 1,879 (99.78%)
kura za HAPANA 5
* KKM ni kifupi cha Kikwete, Karume na Msekwa
Katibu Mkuu CCM ni Lt. Kanali mstaafu Yusuf Makamba
Na Mosonga
Tuesday, 6 November 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment