Friday, 7 December 2007

Usi...!

Maelekezo au maagizo mengine huwa yanachanganya zaidi badala ya kusaidia!

Mfano, mtu anakuambia:
'Ukifika pale (eneo fulani) nenda kushoto "usipite kulia"'.
Ni vema iwe;
'ukifika pale nenda au pita kushoto'.

Mwingine utasikia:
'Ninunulie uzi mwekundu, usichukue wa bluu wala rangi ya chungwa!'
Hii inachanganya ni vema ingekuwa;
'Ninunulie uzi mwekundu, usipoupata basi au acha'

No comments: