Thursday, 14 June 2007

Poleni Brother George na Shemeji Georgia

Nimepokea habari za msiba wa mama yetu mpendwa kwa masikitiko makubwa. Kwa kweli mama ameacha pengo lisilozibika.
Poleni sana Nyakaho, Adam & family, Maula, Nuru na ukoo mzima, ndugu na marafiki.
Mimi pamoja na familia yangu tuko pamoja nayi ktk kipindi hiki cha majonzi. Na nawaombea faraja na moyo wa ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
Mungu Awabariki sana.
Amen.

No comments: