'Jamaa mmoja aliyekuwa anajitapa anajua sana kiingereza aliingia katika baa moja akawa anawaambia wenzake;
"do you know that SUGAR is the only word in english which starts with an S and U and yet it sounds like S, H & U?"'
Jamaa mmoja aliyekuwa amekaa pembeni akauliza 'are you SURE?'
-Jenerali Ulimwengu, MB (Vijana,CCM) 1990-95
Monday, 18 June 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment