Tuesday, 26 June 2007

Mweusi, shule na lupango!

Mtoto au kijana mweusi (UK) ana uwezekano mkubwa maishani mwake kwenda jela (gerezani) kuliko kujiunga na masomo ya Chuo Kikuu!
-Hii ni ripoti ya hivi karibuni, na watu weusi wamelaani vikali hali hii na kuiita ni institutional racism!

No comments: