Monday, 18 June 2007

Darasa la nne/tano

Natoa changamoto kwa mtoto yeyote aliye darasa la tano (kwa sasa) ambae atajaribu hili swali peke yake, halafu atoe comment zake hapo chini.
Mimi nilipokuwa darasa la nne au la tano nilipata shida sana kufanya hili swali na bado nalikumbuka sana!!!!

Swali:

Tafuta thamani ya a;

a/2 + 1 = a - 1

Onyesha njia na jawabu.

No comments: