Mdogo wangu amefanya vizuri ktk mtihani wake wa Taifa 2007 kidato cha VI.
Ni matokeo ambayo yamenifurahisha na ya kujivunia! Bila shaka akipata msaada unaostahili atafika mbali na kujipatia mafanikio.
S0324 Lindi Secondary School
Division I - 11,
Division II-40
Division III-51
Division IV-9
Division 0 (Fail)-0
Hongera sana Bwana Mdogo.
Saturday, 8 September 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment