Tarehe 05/6/2007 nilisoma habari ktk magazeti kuwa kuna noti badia Dar, hasa maeneo ya feri.
Noti hizo ni za thamani ya sh. 10,000/= yenye namba AE 8274354 na ya sh. 2,000/= yenye namba BA 178398.
Sijui kama uhalifu huu ulishaisha au kutokomezwa na vyombo vya dola. Ni vema tuendelee kuwa waangalifu lika wakati hasa tunapowatuma watoto wadogo kununua vitu vya bei kubwa na wanaweza kupewa chenji za noti bandia!
Na Mosonga
Saturday, 6 October 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment