Monday, 22 December 2008

Kipato vs. matanuzi(?)

22/12/2008
Najiuliza sana sipati jibu, napiga picha bado sielewi . . . .

Baadhi ya Watanzania kipatacho chao halali na kinachotambulika kuwa ni halali ni kidogo, ukilinganisha na style ya maisha yao . . . .

Utawasikia
- Mshahara hautoshi . . . . Anasomesha watoto Private Schools
- Kipato kidogo . . . . Anajenga nyumba
- Maisha magumu . . . Anavaa na kula vizuri
- Tunapata shida sana na maisha . . . Ana gari . . .
- Hali ni ngumu sana . . . . Utamkuta bar na kwenye starehe nyingine . . .

Ndugu zangu nisaidieni ni wapi hasa wanapata kipato hiki cha ziada wakati vipato vyao vyao vyote vya halali vinajulikana . . . .

I hope sio mafisadi . . . . (source: jamiiforums, 22/12/2008)

No comments: