Tuesday, 30 September 2008

Aung San Suu Kyi*: Bonge ya Jina!

Huyu mama ana jina ambalo imenichukua muda mrefu kuelewa herufi zinazolijenga! (Kwa kimombo 'spelling' zake!)
Ukilisikia tu redioni ni vigumu kulitamka, achilia mbali kuliandika!
.............................................

*Burmese political prisoner Aung San Suu Kyi.

No comments: