Kutokana na ushindi wa Jumapili Manchester United v. L/pool, nimeukumbuka wimbo mmoja uliokuwa ukiimbishwa wakati wa 'disko' la JKT usiku saa 2 au kwenye mchakamchaka (kuruta hamna kutembea)!
Ushindi huu umeendeleza wimbi la dozi za Man Utd kwa timu ziitwazo 'the big 4' baada ya kuifunga Chelsea mwaka jana 2-0 (na Arsenal 4-0 FACup) nyumbani kwetu OT.
Afande afande ongeza mwendo afande ...!
Man Yuu Man Yuu ongeza mwendo Man Yuu!
Fergie Fergie ongeza mwendo Fergie ...!
Chorus
Ongeza mwendo (Fergie!)
Ongeza mwendo (Fergie!)
Queiros Queiros ongeza mwendo Quiros! (mara 2)
.....................................
Wanavyosema kuhusu Man Utd:
"I don't think there is a fear of losing [at United]. They are driven on by the expectation of the club. When you sign for Manchester United, you are going there to win, not to come second."
-Roy Keane
source: www.manutd.com
Tuesday, 25 March 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment