halmashauri ya mji wa reading (borough council) hivi karibuni imetaja maeneo yenye panya kwa mujibu wa gazeti la evening post la reading toleo la jumanne 10/02/09.
maeneo hayo ni
oxford road, church road (caversham), wokingham road, friar street (katikati ya mji) n.k.
inaonekana panya hao wanakaribishwa na mabaki ya vyakula maana maeneo husika yana migahawa mingi pamoja na takeaways nyingi!
Thursday, 12 February 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment