Friday, 2 January 2009

Maono ya 2009

Jana usiku yapata saa 4 hadi saba usiku (22:00-01:00 GMT) nilikuwa nasilikiza kiredio changu ktk stesheni ya talk-sport.
Mtangazaji wa kipindi (Ian Collins) akaja na njozi au ndoto zake za mwaka huu!

1. Rais Obama wa US ata'disappoint ktk ahadi zake
2. gazeti moja kubwa (the independent????) litakufa -halina wateja kimatangazo, hivyo mapato yatokanayo na matangazo yatapungua au kukauka kabisa!!
3. hakuna uchaguzi mkuu Uingereza mwaka huu hadi mwakaniiii!

No comments: