Thursday, 8 May 2008

Viwango vya nauli za dalala Dar

(Na Anneth Kagenda, Nipashe 08/05/2008)
Viwango vya nauli vinavyopasa kutumika kwa sasa kuwa ni:
Shilingi 250 kwa umbali wa kuanzia kilometa 0 hadi 10,
Sh. 300 kwa umbali wa kuanzia kilometa 11 hadi 15 na
Sh. 350 kwa umbali wa kuanzia kilometa 16 hadi 20.

No comments: