Wednesday, 7 May 2008

Asante kwa salaam zenu!

Nawashukuru wote mlionitumia salaam za pongezi ktk siku yangu muhimu ya kuzaliwa.

Salaam za pekee kwa mama mzazi, mke wangu na mwanangu, shemeji Uingereza na familia yake.

Nimefarijika sana kwa ukarimu na wema wenu. Mungu awabariki nyote.

Hii ni siku ambayo naiadhimisha kwa kuongeza bidii ktk kufanya kazi na pia kutafakari kipindi kilicho mbele yangu. Namshukuru Mungu kwa nafasi hii aliyonipa katika maisha!

No comments: