Tuesday, 6 May 2008

Hongera: siku yako ya kuzaliwa

Najua leo bado uko tumboni, kesho unazaliwa.
Hongera, huko tumboni kuna joto ee pole!
-Kutoka kwa Mama Tezy

Hongera na wewe tarehe 07, EW yeye ilikuwa 04! Hongereni wote!
-Kutoka kwa Mama

No comments: