Shukurani kwa Mr Chomy pamoja na familia yake kwa kuniandalia chakula murua cha jioni. Pia naishukuru familia yangu hasa mke wangu kwa kuniunga mkono na salaam zake zilizonitia moyo. Kwa kweli ilikuwa siku njema kwetu sote.
Hata kwa wale ambao hawakupata nafasi kufikisha salaam zao, nao pia nawashukuru kwa vile walikuwa na nia au dhamira ya kufanya hivyo!
Mwenyezi Mungu awabariki wote.
Thursday, 8 May 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment