Monday, 11 January 2010

Thamani ya Ukweli!

...........................................
'... Ni muhimu, basi, kuwathamini wale wachache wanaodiriki kutoa maoni yao, wawe ndani ya utawala au nje, kwa sababu hawa ni watu adimu katika jamii yetu.

Zamani kidogo niliwahi kuandika kwamba sote tunahitaji kuwa "Wakurya" kwa kiasi fulani, kwa maana ya kuambizana ukweli hata kama haupendezi. Hadi sasa "Wakurya" tulio nao bado hawatoshi. Tuwathamini hao wachache waliopo ...'
Source: Rai ya Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema, June 18-24, 2008.
...........................................

No comments: