Leo ni leo!
Carling Cup Nusu Fainali, mchezo wa kwanza (City of Manchester Stadium).
Ni kati ya Manchester City na Manchester United. Mchezo unaanza saa 5 za usiku Afrika Mashariki. Sijui kama nitafanikiwa kuuangalia -nina hamu ya kuuangalia live!!
Meneja Sir Alex wa Man United ameahidi kuchanganya kikosi cha wazoefu na chipukizi ili kuonyesha imani na kutambua mchango wa watoto kuifikisha United hapo ktk semi-fainali!!!
Mechi ya marudiano itakuwa Old Trafford hapo tarehe 27/01/2010.
Kila la heri Manchester United!!
Glory Glory Man United .....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment