Tuesday, 7 April 2009

Methali, Misemo na Nahau

A
Adhabu ya kaburi aijuaye maiti.
Aisifuye mvua imemnyea.

B
Haba na haba hujaza kibaba.
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Hamadi kibindoni.
Hasira hasara.
Hasira za mkizi furaha ya mvuvi.

C

D

E

F

G

H

J

K
Kidole kimoja hakivunji chawa.
Kukopa harusi kulipa matanga.
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi.

L

M
Mali bila daftari hupotea bila habari.
Maneno matupu hayavunji mfupa.
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno. (?)
Mbwa wa msasi mkali, ni mkali pia.
Mchoyo hana rafiki.
Mchuma janga hula na kwao.
Mchumia juani hulia juani.
Mfinyanzi hulia gaeni.
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu.
Mkataa pema pabaya panamwita.
Mkuu ni jaa.
Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba.

N

P
Pema usijapopema, ukipema si pema tena.

Q

R

S
Siri ya mtungi aijuye kata.
Subira yavuta heri.

T

U
Umoja ni nguvu.
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.

V
W
Wapiganapo tembo ziumiazo ni nyika.

X
Y
Z

No comments: