Tuesday, 24 November 2009

Machinga kazini

Wapendwa, nitakuwa na mizunguko ya kimachinga kidogo, mkiona sionekani hapa mjue nimelalia lilikonizamia eeeee!

Tuonane!

My Fire! (Motto)

"uhuru ni kujitegemea!"

Tuesday, 17 November 2009

Never say die!

...............................
'(a successful man) has never ducked a challenge'
-source: homes under the hammer, bbc one tv
june 15, 2009 10:57 BST

...............................

This is MU: Who's next? Watch-out!

.....................................
Nov. 2009
21 Nov Barclays Premier League Everton H 17:30
25 Nov UEFA Champions League Besiktas H 19:45
28 Nov Barclays Premier League Portsmouth A 15:00

December 2009
01 Dec League Cup Tottenham H 20:00
05 Dec Barclays Premier League West Ham A 15:00
08 Dec UEFA Champions League Wolfsburg A 19:45
12 Dec Barclays Premier League Aston Villa H 17:30
15 Dec Barclays Premier League Wolves H 20:00
19 Dec Barclays Premier League Fulham A 15:00
27 Dec Barclays Premier League Hull City A 16:00


source: www.manutd.com

Monday, 16 November 2009

Ya kweli hayo?

........................................................................
........................................................................
Juzi nilipanda daladala moja kwenda mjini Tukuyu. Hiki kpanya kiko nyang'anyang'a. Bodi linatikisika na kupiga kelele gari iwapo kwenye mwendo, sakafu imetobokatoboka na baadhi ya vioo havifunguki kabisa. Kwa haraka haraka niliifananisha na torori bovu!

Ndani ya kioo cha dereva kulikuwa na 'stika' 2.

Stika ya kwanza imeandikwa 'Manchester United FC' na nembo ya MU.

Stika ya pili ilikuwa na maandishi 'This Car is Protected by the Blood of Jesus'.
........................................................................
........................................................................

Wednesday, 11 November 2009

Part-time hunter

This is what I read and wrote in early 1990's. I did this 'little work' while spending precious 'Tano Bora' at JKT.

..............................................
'... if men had the power to influence the sex of a baby before birth, the number of girls in Tanzania -and perhaps elsewhere- would hardly fill the Diamond Jubilee Hall and what an unspeakable catastrophe if nature had given men that power!'
-Family Mirror, First Issue, December 1990. (By Tetyo B. Malya, -Family Chat)
...............................................

'You can have a great marriage and great career.
You can have a great marriage and great children.
You can have a great career and great children.
But it's awfully hard to have all three at once!'
-Weekend Magazine, Friday, April 19, 1991. (Originally by Barbara Walters)
................................................

'Life is a campaign, not a battle, and has it's defeats as well as its victories'*
-Feb. 1991
.................................................

'A man would do nothing if he waited until he could do it so well that no one at all would find fault with what he has done.'*
-Feb.1991
...................................................

'The man who makes no mistakes does not usually make anything.'*
-Feb. 1991
....................................................

'when we try to help others we lose our intense dislike of them, and sometimes end up by liking them. Liking many individuals and wanting to help them as well as yourself is a great source of energy.'*
-Feb. 1991
....................................................

'I am more and more convinced that our happiness or unhapiiness depends far more on the way we meet the events of life than on the nature of those events themselves.'*
-February 1991
....................................................

'The most lovable quality tha any human can possess is tolerance.
Tolerance is the vision that enables us to see things from another person's point of view.
It is the generosity that concedes to others the right to their own opinion and their own peculiarities.
It is the bigness that enables us to let people be happy in their own way instead of our way.'*
-February 1991
.....................................................



*Source: Psychologist Magazine.

Tuesday, 10 November 2009

Mikosi safarini

Nikiwa njiani na wenzangu toka Kigoma, baada ya kuupita kidogo mji wa Urambo tulipata ajali baada ya gari yetu kupasuka tairi (tyubu ya tairi) ya mbele upande wa dereva. Gari ilikuwa na mwendokasi wa kama 100km/hr na tulikuwa kwenye kona ndipo gurudumu hilo likapasuka. Tukaanza kuyumba kwa umbali mrefu kidogo huku dereva akijitahidi kurekebisha mambo yasiwe mabaya zaidi! Ndipo baadae kidogo likaserereka na kuingia mtaroni na kuegemea ukuta wa nje wa mtaro kwa kishindo. Wanakijiji wa eneo lile walisikia mlio wa tairi (tyubu) kupasuka na kishindo cha gari kugonga gema la barabara na mara moja wakakimbia kuja eneo la tukio na walishangaa kukuta tuko nje ya gari tayari na tuko salama!

Ilikuwa ajali mbaya na tunamshukuru Aliye Juu kwa kutuepushia madhara makubwa. Gari ilibondeka upande wa dereva mbele hadi nyuma.

Wanakijiji walitusaidia kuinyanyua gari na kuisukuma nje ya mtaro mkubwa wa barabara. Shughuli yote hii ilidumu kwa saa 3 na ushee. Ni nguvu za binadamu tu zilitumika hapa kuiondoa gari mtaroni, wenye magari wote walipiata bila msaada wowote, sana sana labda wale walioulizia kama wamesalimika wasafiri wa hilo gari!

Tukabadili gurudumu (tulikuta ile tyubu iliyosababisha ajali imechanika vipandevipande!! Imetengenezwa China!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaogopeni magurudumu (tubes)ya China kama ukoma).

Mafuta ya gari yalimwagika karibu robotatu ya tenki -kutokana na gari kulala kwenye tuta). Lilipotengamaa matengenezo madogo tukapumzika kidogo na baadae tukaianza safari kulekea Tabora.

Kwa bahati mbaya tena tairi iliyowekwa nayo ilipata pancha tukiwa eneo la Shelui mpakani mwa Tabora na Singida, ila safari hii tulisimama salama na kulibadili na kisha kuelekea Singida.

Mikasa na mikosi ilikuwa mingi. Hapa nimesimulia kidogo tu!

Ama kweli ilikuwa ni safari yenye mkosi*.
.................................................

*kichwa cha habari cha kitabu cha 'tujifunze lugha yetu' (kiswahili) cha darasa la tano, enzi zangu!

Kigoma ni kiboko

Nakumbuka wakati nikiwa JKT Luwa, watani wangu Waha walikuwa wakitaniwa kwa ushamba wao:
1. Mwanza ni mji lakini Kighoma ni kibhoko!!
2. Kighoma taa zinawaka kwenye chupa! (yaani Bulb)

Kwa mara ya kwanza nimefika na kukaa kidogo mji wa Kigoma! Kumbe mji huu uko juu ya milima na mabonde ya huku na huko. Uwapo juu ya kilima (hasa Milimani Lodge waweza kuliona vema ziwa Tanganyika na eneo la Kinyirizi). Pia kuna hoteli nzuri sana ya kitalii inaitwa Lake Tanganyika (Beach). Hotel hii ni kiboko. Nasikia ni mali ya mwekezaji mzalendo toka mkoa wa Mbeya! Hongera sana 'Mnyaki' kwa hicho kitu!!!

Hotel au nyumba nyingi za wageni zinatumia jina la Zanzibar; Zanzibar Lodge, Zanzidar Inn, Zanzibar ya Chini, Z'bar ya Juu n.k.

Ardhi ya Kigoma ina rutuba na kwa kweli ni pazuri kimandhari, na hata maendeleo nayo si haba -yapo. Nguo za kina mama hasa vitenge vinatoka nchi jiarani ya DR Congo. Vipande 3 vinaanzia sh. 13,300/=, na vya 'phoenix' (Trade Mark) viko kwenye sh. 25,000/= au zaidi.

Upatapo nafasi tembelea mji wa Kigoma na ikiwezekana jitahidi ufike Lake Tanganyika Beach Hotel. Chumba ni sh 70,000 hadi 80,000 kwa siku. Pia tembelea soko lao maarufu pale karibu na stesheni ya treni na lile liitwalo Mwanga (hili liko juu kidogo ya kilima kabla hujatelemka kuingia mwisho wa reli).

Hongereni sana wana-Kigoma.

Wazazi watarajiwa mpooo!

Wajibu mkuu wa mzazi (kabla ya kuoa) ni kumchagulia mwanae mama au baba bora.

Fikiri vema kabla ya kuoa au kuolewa.

Jiulize pia hili swali. Je, mwanangu nimtafutie mama au baba yupi ambaye ni bora na anafaa kumlea au kufanana nae au kumrithi kitabia, kiakili n.k.!!!!

Tabia, akili na sifa za mwanao waweza kuziandaa mapema kabla ya kuwa na mtoto.

Wewe unaonaje au unafikiaje?

(chanzo: kipindi cha arrasaala, saa4 usiku, channel ten tv, jumapili 08/nov/2009, host mohammed idd)

Tribute to My Classmates, Teachers, Lecturers and Seniors

PART ONE: WANAFUNZI WENZANGU:

A:
Baranga S/Msingi, Musoma (V): Darasa la I, II-VII
Iselamagazi S/Msingi, Nindo, Shinyanga (V): Darasa la I (part of).
Mapinduzi S/Msingi, Mugumu, Serengeti: darasa la II (part of).
Mkondo wangu: Darasa la I-VIIB.
Anuani ya shule: POBox ... Musoma, Tanzania.

01. Marwa Richard Nyamonge -mkondo B Tambaza Sec, Mazengo H/Sch.
02. Juma Marwa Chogoro -mkondo A Azania Sec, Usagara H/Sch., IFM, TZ Posts
03. Ms Naomi Matutu Baruro -B; Bwiru Girls, Rugambwa H/Sch., Marangu TC, Igunga Sec
04. Ms Mbusiro Michael Kehengu -B
05. Ms Rhobi Chacha Mosenye(?) -B
06. Chacha Nyamonge -Std VIA akahamia Sisimba S/M Mbeya, CBE Dar, Police Dar
07. Ms Severina Joram Nkenge -Std VIIA
08. Ms Nyamahemba Washiki -B
09. Ms Wesiko Marwa (monita std I-III) -B
10. Mwita Gati -B
11. Ogunya Mkama Ogunya -B
13. Ms Bhoke Magabe -B
14. Mtatiro Marwa Tienyi -B
15. Ms Bhoke Nyakorema -B
16. Ms Rhobi Msoba -B
17. Chacha Nyamaranya -A
18. Ms Nyawasha Machela -A
19. Ms Elizabeth Wanda -A
20. Marwa Gati -A
21. Ms Bhoke Sarya Mrisya -A
22. Charles Messanga -A
23. Mwita Magabe -A
24. Ms Bhoke Magweiga Kisyeri -B
25. Charles Kisyeri*-A
26. Chacha Mwita -A
27. Chacha Mwita -B
28. Mwita Mashauri -B
29. Chacha Mashauri -A
30. Mwita Marwa Kisyeri -B
31. Mwema Mnanka Samo -Std IVB akahamia Kongoto
32. Musoma Wanda* - Std VIIA
33. Ms Wegesa Wambura Nyakubhilela* -A
34. Ms Ghati Magweiga Kisyeri* -A
35. Ms Scholastica William -B
36. Laurent John-B
37. Buhuru (Uhuru) Samson -B
38. Ms Kichele Gati -A
39. Ms Kichele Magige Bwana -A
40. Ms Bhoke Kiginga -A (Bibi Afya)
41. Ryobha Chacha
42. Juma Mgusuhi (Kamba) -A
43. Nkombe Maswi Ketenta -B
44. Ms Mkami Maswi Ketenta -B
45. Ketango Washiki -A
46. Charles Fanuel Namba -B hadi std IV walipohama
47. Ms Robi Marwa Mwita 'Nyamaghuli' Drs I-IIIB -Dada
48. Ms Ghati Nyisane 'Seleghai' Drs IA -cousin
49. Mwita Makori -A
50. Kimwama -B, up to IIIB?
51. Mwita Marwa -B
52. Ms Gati Mnanka (d/o Robi Kisima) -B
53. Maswi Magere -B
54. Mwita Marwa Nyangwe -B
55. Alan Christopher -(classmate) (Iselamagazi P/Sch., Shinyanga Rural)
56. Marco Francis -(classmate) (Iselamagazi P/Sch)



B:
Musoma Secondary School. Musoma. Kidato cha: I-IV
Mkondo wangu: Kidato cha IB, IIB, (IIIA, IVA -Additional Maths)
Bweni langu: Amri Abeid, first cubicle (LHS) after Common Room
Anuani ya shule: POBox 54 Musoma

01. Haruna Mohamed 'Voice' -Shaaban Robert from Kamunyonge -Musoma, UDSM
02. Deogratius Mwema Thomas
03. Nyanda Gapale
04. Raphael Jowel - , from Lamadi
05. Venance Ndunga 'Power' - Boss wa 'bwalo', from Magu, Sokoine University
06. Paul Mshimo -Tosamaganga H/Sch., BoT
07. Paul Kamalamo - ,UDSM
08. Leonard William Fweja -Amri Abeid, Tosamaganga, Sokoine Uni, Reading Uni UK
09. Marco Waryoba -Mkwawa Uni
10. Ponsian Constantine -S/Robert
11. Emmanuel Ernest (baba...shibhe!)-S/Robert, Mbeya Tech. College
12. Muungano James 'Bom-Bom' -S/Robert (midfielder wa shule -football)
13. Sophareth Magessa Kataso (Master of Ilele -'irrelevant') -Makongoro
14. Niva Michael -Lumumba
15. Maulid Gakole -Amri Abeid
16. Robinson Magambo -A.A
17. Patroba Materere -S/Robert
18. Kasambalala Evarist* -Lumumba
19. Kizito Nkwabi- Lumumba
20. Alfred Andrew Auma -Mkwawa
21. Yusto Sylivester 'VC' -CBE DSM,
22. Mayunga Ng'home -Amri abeid
23. Kicheche (kamnyama) - A/Abeid
24. (Super Short) Nyasanda -
25. (?) Bondo -
26. Marwa Kenani - Amri Abeid
27. Msafiri (Traveller) Mchemba-A.A
28. Chongo Cosmas -
29. Bartazar Chilato -Amri Abeid
30. Aruni Kitomwa (Form IB)-A.A
31. Zakayo Richard* -Makongoro
32. Makubi Mabusi -A.A; I,IIB; III,IVB Arts
33. Daniel Matiko Werema Mwita -Mkwawa. From Nyamelambala, Tarime
34. Josiah Zephania -Mkwawa. From Bungulele, Tarime
35. Chacha Magita -A.A From Tarime
36. Chacha Makubo - From Magoto, Tarime
37. Juma Simango -A.A From Ngoreme, Serengeti
38. Mapinduzi Wambura -Mkwawa from Nyamatare, Musoma
39. Mtete Bega -
40. Maira Maira -(only Form IB)
41. Kisika Mugire - (only Form IB)
42. Bernard Malebo (Mugendi) - , UDSM, Poverty Africa Mbeya
43. Deogratious Malamsha -A
44. Basole Thomas - C Pure Science
45. Vedastus Ambrose - went for CBA Kibaha High School
46. Charles .... - C Pure Science, Land Surveying Ardhi Institute
47. Lumanija -
48. Thobias Barongo -A, C Pure Science
49. Robert John B, C Pure Science

C:
Mazengo High School, Dodoma. Kidato cha V-VI
Comb. yangu: PGM
Mkondo wangu: G3
Bweni langu: Mwongozo,
Chumba changu: No.9 Down (Form V) & Room No.14 Down (Form Six)
Anuani ya shule: POBox 47 Dodoma

01. Maulid Gakore, PGM- Mwongozo, G2 'Ndagada' (dorm. mate, also from Musoma Sec)
02. Bosco Kitura, PGM-Azimio
03. Alphonce Kiheri, PGM-Muungano G2 UDSM, NSSF, BoT
04. Shadrak Metili -PGM, G2 UDSM, NSSF
05. Manyama -PCB Mwongozo
06. Shija Kasandiko -PGM, G3
07. Emmanuel Mabirika ('mabilauri')-PGM, G3
08. Mwakyembe -PGM, G3
09. Deosdadit Hokororo -PGM, G3
10. Arnold Masaro -PGM, G3
11. B Chagula -PGM, (President, students' govt)
12. John Danda -PGM, G3. British Council, DSM
13. Wilfred Amaniel Mmari -PGM, stream G2 (room-mate no.09Down, no.14Down), UDSM
14. Siston Makafu -PGM, G3
15. Samson Sesani -PCB
16. Michael Ndaskoi -PGM G3
17. Fikeni Yona -PGM G2 (roommate No.09D, No.14D)
18. Ruta -PCB
19. Ali Jonas?? - PGM G3
20. Charles ... -PGM, G3 (from Mby)
21. Rozam ... -PGM, G3 (from Mwakaleli, Tukuyu)
22. Adrian Mwanuke* -PGM, G3 UDSM, BoT
23. Baldwin Chilumba -EGM from Chidya Sec.
24. Daniel Lohay -EGM from Mbulu (Iraq(??))
25. Mchomvu -EGM
26. Roman - PGM, G2; Sectretary Students' Govt, UDSM (Law)
27. Sylivester Tati -PGM G2
28. Matata Tungaraza -EGM
29. Silaji Kapyolo -PGM
30. Stanley Mihayo -PGM
31. Primus Herman -PGM



KURUTA (SERVICEMEN/WOMEN) WENZANGU

D:
MASANGE & LUWA JKT
Kombania yangu: C-Coy (Masange, Tabora) & B-Coy (Luwa, S'wanga).
Anuani ya kikosi: POBox 14 Tabora.
Anuani ya kikosi: POBox ... S'wanga, Rukwa.

01. Alphonce Kiheri B/C Coy- Masange/Luwa
02. Robinson Magambo HQ/B Coy-Masange/Luwa, Musoma Sec
03. Jumanne Kasanda -Masange/Luwa
04. Ms Happyness Temu a/A Coy- Masange/Luwa
05. Ms Isabela Akaro B Coy- Masange
06. Ms Audrey Komeka B Coy- Luwa
07. Bosco Kitura Masange na Luwa
08. Ms Elizabeth Fanuel Namba -Masange
09. Kipii -Masange/Luwa
10. Ms Devotha John -Masange/Luwa HQ Coy, UDSM
11. Yudas Msangi -Masange


E:
Architecture, Ardhi Institute/UCLAS
Kozi yangu: Architecture
Anuani ya Chuo: POBox 35176 DSM

Huruma Nkone (now Mchungaji Victoria Church!)
Gozbert Kakiziba
Eliah Mpembeni
Emmanuel Ngadu
Emmanuel Naikara
Benjamin Maula
Ms Yvonne Ketang'enyi Matinyi
George Raiton
Ms Veronica Peter Otaru
Ms Scolastica Mandwa
Robert Chuwa
Raphael Mbabu
Ray Sitti
Mathew Mwakagamba
Shempemba
Ms Joyce Romwald
Maro
Ernest W M Makale
Hamis (Patrick) Madaki -'Kirumba'
Rajabu Mazora
Patrick Mgeni
Richard John
Fulgence Kibiki


Goodluck Malle (Marley???)
Ms Amina Abdalla
Joseph Ringo
Rajabu Mazola
Mgeni
Vasco Bokella
Edwin Sannda
Fadhili Msemo
Emmanuel Nyengo
Idd Ally
Aidan
Ms Nneka Minja
John Makoye
Ally Simbano
Ms Levina Alexander (Boojo!! Waitu!)


......................................................



PART TWO: WALIMU WANGU

A:
Baranga S/Msingi, Darasa la I-VII.

Fanuel Namba (FN) -English (Mwalimu Mkuu wa kwanza hadi 1980)
Makaranga Kubwela (MK) -Kiswahili
Nyafungo Kubwela (NK) -Sayansi Kimu (dada wa Makaranga, baadae mrs CW)
Amas Joseph (AJ) -English, Sayansi (Mwalimu Mkuu 1980-86)
Chacha 'Mbegete' Jasson (CJ) -Siasa, Michezo, Kiswahili
Chilemeji Wilson Mabuba (CW) -Kiswahili, Hisabati, English
Telesphory Paschal (TP) -English
Flora Matutu (FM); Mrs Amas Joseph -English
Leonidas Lwehumbiza (LL) -Sayansi
Robert Makuna (RM) -Jiografia
Obedi Mangunu (OM)-Kiswahili
Mwita Nyamhanga Obonyo (MN)-Sayansi Kimu, Jografia
Tui Nyamhanga Obonyo* (TN)-Kiswahili, Siasa
Mwita Magweiga Kisyeri (MM) -Hisabati
Daudi Sira 'Philipo Daniel' (DS) -English, Siasa
Marwa Nyansembe (MN)-Hisabati, Kiswahili, Jiografia
Mzee John (father of Laurent John) -Dini
Sisikwa Sisikwa (brother of Buhuru Sisikwa)-Dini
Mzee Majinge -Iselamagazi, Nindo


B:
Musoma Sec. School (MUSS), Kidato cha I-IV

1.English
-Mganga
-Bulongo
-Mwombeki
-Matutu (Literature, 'Sons and Daughters' by Camara)

2.Physics
-Ms Rwango
-Johnson

3.Biology
-Mrs Mwita
-Mathias

4.Chemistry
-Fundisha AN
-Laban

5.Agriculture
-Wambura
-Seleli
-Swai
-Mmari

6.Geography
-Mrs Wambura
-Kagosi
-Rugaimkamu (Regional Geography Form IV)
-Jamhuri

7.Kiswahili
-Malima (Mzei)
-Kisaka

8.Additional Mathematics
-Msagasa
-Nyonda, from Usagara High School

9.Basic Mathematics
-Lugai*
-(Bondowe)

10.Siasa
-Maningu

11.History (I&II)
-Malima
-Mganga

Headmaster: Nashon Otieno Otuolo
Second Master: Kaishozi
Librarian: Otieno


C:
Mazengo High School (Dodoma), PGM, Kidato cha V-VI
1.Physics:
-Abraham Nyanda
-Mrs Kafumu

2.Geography:
-Sanga

3.Advanced Mathematics:
-Ms O'Connel (from Boston, US)
-Mwinuke (also academic master)

Headmaster (Mazengo): Sylivester Mkoba*


D:
Maafande wangu JKT, (Masange na Luwa)
Lt.Col Lorry -CO, Masange
Ssgt Mluya -Sirmajor wa Kombania C-Coy
Sgt Kazoba -C-Coy Masange, Catch phrase: 'Kuruta umeona picha yangu kwenye stempu?'
Cpl Kashandago C-Coy (mjongomeaji!!)
Cpl Kimaro
Lt Majani -OC, A-Coy Masange

Lt Nyenyema* -QM, Luwa
WWII Salum, Luwa
Ssgt Lucas Chacha, Luwa (Mzee Wangu)
SSgt Dawson, Luwa
Sgt Edward, Luwa
Cpl Mrope, Luwa
Cpl Ndunguru, Luwa
Cpl Misigaro, Luwa


E:
Ardhi Institute/UCLAS

Lazaro Peter C1 III, C6 III; C9.1 I
A Mosha C1 I, II; C6 I; C9.1 I, II; C15 IV
Gillya C2 I, II, III; C9.1 V
Simon Mhando C3 I; C4 III
Nderimo C4 I, II
Cyriacus Lwamayanga C5.1 I, II, III; C5.2 II(part); C9.1 I; C13 IV; Field training I-III
Kyomi* C5.2 II(part)
Z Moshi C5.2 III, IV; C10
Lekule C6 II, C9.1 V, C11 IV (Head of Department 2)
Mkonny C7 III, C9.1 III (Head of Department 1)
K A W Byabato C5.3 I, II; C15 I
Mattesso C8 II, III(part of), IV; C9.1 II
Mandwa (of URP Dept) C8 III(part of)
L B Bulamile C7 II, IV; C9.1 III
Kajuna* C9.1 I, C9.2 I
L Mosha C9.1 IV, C10
Liberatus Mrema C9.1 II, IV; C14 IV
Adrian C5.2 II
Tirio Manga C1 I; C9.1 I
Ms Eliofoo C12 III
Mwakipesile C1 IV
Dr. F S Lerise, C17 (Head of Department 3)
Kimati, C18 I
Joseph Karwima, C12 III
Eng. George Mwaluko (Mech.Eng.UDSM), C5.3 IV
E A Kimaryo, C8 II
Ndoloi (UDSM) C17 III
Alfred Mwenisongole C17 I/II(?)
...(part time lecturer) C7 V
...(part time lecturer) C12 IV
...(part time lecturer, from UDSM) C4 IV
...(part time lecturer, from Min. of Lands HQ) C8 III(part of)
Kai.?. C12 II

Course Codes, unofficial:
C1. Theory of Architectural Design (Principles of Design)
C2. History of Architecture
C3. (Engineering) Mathematics
C4. Theory of Structures
C5.1 Building Materials
C5.2 Building Construction
C5.3 Building Services
C6. Environmental Science
C7. Professional Practice
C8. Settlement Planning
C9.1 Design studio
C9.2 Design Art and Presention Technique
C10. Dissertation/Thesis
C11. Urban Planning
C12. Building Economics
C13. Architectural Conservation
C14. Landscape Architecture
C15. Interior Design
C16. Workshop
C17. Research Methodology
C18. Sociology
.................................................

*passed away, according to the information I have.

Schoolmates: Kila la heri, 'Umuofia' Kwenu!

Shule ya Msingi Baranga, Musoma (V)
1. Mosamba Michael Kehengu (alikuwa mbele yangu darasa moja)
2. Mwita Michael Kehengu (+3)
3. Chacha Michael Kehengu (+2)
4. Ms Bhoke Nyamhanga (+2)
5. Ms Wankyo Chacha (+2)
6. Silas Mwikwabe (+1)
7. Nyerere Wanda Choma (+3)
8. Mote Ntarisa (+3)
9. Ms Wankyo Ntarisa (+3)
10. Ms Gati Fanuel Namba (+3)
11. Ms Mkami Fanuel Namba (+2)
12. Charles Fanuel Namba (classmate)
13. Ms Elizabeth (Rhobi) Fanuel Namba (+1), Bwiru Girls, Masange JKT
14. Kawaki Marwa Kisyeri (+2)
15. Nyerere Chacha Mosenye (+3)
16. Juma Wanda (Mashaki) Choma (+2) 'Kyonyo'
17. Nchota Marwa (+3)
18. Mohege Mohege (+2)
19. Kigocha Mtatiro (+1)
20. Gasiano Chacha (+1)
21. Tano Mathias (+1)
22. Ms Wankuru Marwa Chogoro (+1)
23. Masero Marwa Chogoro (+2)
24. Wambura Wanda Choma* (+2)
25. Ms Bhoke Mwikwabe (+1)
26. Makoyo Rukonge (Charles Bahama) (+2)
27. Mwita Washiki (+2)
28. Mbogo (+3)
29. Daudi Kisyeri (+2)
30. Petro Nyaghwesi* (+1)
31. Matiko Mkami (+1) Kwisangora
32. Peter Zablon (+3) Kwisangora
33. Buhuru Sisikwa (+1) Kwisangora
34. Kitwekele Gati* (+1)
35. Mnanka Kisima* (+1)
36. Mwita Mchawi (Mshawi) (+1)
37. ... Machela (+2) Ms Nyawasha's brother
38. Mnata Mniko Bhaseye (+3)

Shule ya Msingi Iselamagazi, Nindo (Sinyanga)
1. Lucas Francis (+3) STD IV

Musoma Sec School
1. Lumumba (+2), now in UK (Whitley Wood Lane, Wokingham, Berks)
2. Pascal Chambili (PACHA) (+2)
3. Goodluck Mkiroba Wambura (+2) Katibu wa serikali ya wanafunzi
4. Christopher Fuime (+4, Form V, HGL) Songea-boy
5. Robert Shila (+4 Form V, HGL)
6. Zephania Mongo Mosonga (+3) -kaka
7. Nyengelera Morris (+1) Polisi,Dar
8. Mwita Getacha (kiranja wa Chakula) (+2)
9. Benedicto Mwakisalu (+3) played for Simba SC.
10. Chande Mussa -(+5, Form VI HGL), President. played for Kagera FC
11. Kakwaya Irungu -(+1)
12. David Mkate -(+4) HGL
13. Cloud Masingija -(+1) 'uso wa chuma'
14. Kennedy (+2) Byugla (bugle-man?)
15. Faustine Mgeta (+1) VC, went for EGM
16. Daniel Peter Mambya (Kisinger) (+1) Polisi Kilwa Rd, Dar
17. Herman Kafugugu (Artist) -(+1), std VII at Mugumu Serengeti, went on to Songea Boys High School HGL, (box bee Songea), UDSM. Home: Nguruka, POBox 4 Nguruka, Kigoma.
18.

Mazengo High School, Dodoma
1. Mwita Wambura Nyakubhilela +1 PGM
2. Elias Harun +1 EGM

Ardhi Institute (Uclas)
1. John Ghati (Building Economics, BE)
2. Ms Boitumelo Matholdi (Urban and Rural Planning -URP)

Abuu Mohamed
Ayub Godfrey
Balthazar Victor
Goshash Joseph
Joel Venance
Kajuna Jackson
Ms Shubila Karugira
Hamidu Lugongo
Maneno Julius
Ulimboka Mwakyusa
Fortunatus Ngairo
Peter Zacharia
Qadri Sayed
Chesco Sapula
Ombeni Swai

Ms Ruth William
Adamson Enock
Shija Makwaya
Bundala kushoka (www)
Segelela Mbasa
Job Bwai
Charles Karim (CK)
Rutaroh Adrian
Gilead Kenneth Shangali
Ngangaji Makiri
Juma Mkenga
Musobi Casmir
Rajabu Kanduru
Mushi Kajetan
Arnold Kashula
Ms Angelina Munisi
Dennis Kato (kaboneka!!!!, ha ha haa)
Mathayo Mrisho
Killo Humphrey
Mayage Israel
Robert Kintu
Makula Mlezi
Kintu Henry
Yasin Makange
Emil Lyotelah
Maftah Nickson
Israel Mayage

Stay away! Do not play with these ...!!

Dear Valued Member,

Due to the congestion in all Yahoo users and removal of all unused Yahoo Accounts,Yahoo would be shutting down all unused Accounts,You will have to confirm your E-mail by filling out your Login Info below after clicking the reply botton, or your account will be suspended within 24 hours for security reasons.

UserName: ...................
Password: ........................
Date of Birth: ......................
Country Or Territory : ...................


After following the instructions in the sheet, your account will not be interrupted and will continue as normal. Thanks for your attention to this request. We apologize for any inconvenience.


Warning!!! Account owner that refuses to update his or her account before two weeks of receiving this warning will lose his or her account permanently.

Monday, 2 November 2009

Kondomu za familia

Angalau sasa watu wazima tumepata pa kupumlia baada ya watu fulani kupata 'aidia' poa ya kiutu uzima!!!

Awali au zamani kidogo mtu kuagiza kondomu dukani ilikuwa ni kibarua pevu hasa umkutapo mtu wa makamo au wa jinsia tofauti!!! Utaanzaje kusema au kuuliza ni kondomu gani nzuri au imara? (maana kondomu nayo ni bidhaa kama nyinginezo - maana waweza uliza sabuni gani nzuri kati ya foma na omo?). Je ktk kondomu waweza muuliza muuzaji ni zipi nzuri kati ya salama na dume? La hasha, zamani haikuwa rahisi!

Siku hizi zimeingia kondomu za kiheshima kabisa - maalumu kwa waliooana (mambo ya uzazi wa mpango!) Zinaitwa 'Familia Kondomu'.

Kwa wale wakware (wazinzi) wamepata kisingizio. Mtu una 'appointment' (miadi) na 'totoz' unaenda kununua 'familia kondomu hata hapo duka jirani - hakuna wa kukuhisia vibaya (si una mke! hata kama zaenda nyumba ndogo nani atastukia?).

Kwa waliooana mambo ni shwari siku hizi (naongelea wasio waaminifu). Hata kama kondomu zitaonekana mifukoni au mikobani, mwenzio hawezi kuhisi vibaya maana inaonyesha unazingatia uzazi wa mpango, ingawa pia hawezi kujua zilikuwa ngapi wakati zinanunuliwa na zimefika nyumbani ngapi!!

Yaani unanunua kwa kujiamini popote wakati wowote kwa kivuli cha uzazi wa mpango na hata kuzihifadhi hakuna wasiwasi ila pa kuzitumia 'part-time' ni siri ya mhusika!

Je, waliozibuni hizi kondomu za familia lengo kuu walifikiria kuokoa maisha ya watu (kwa wale waonao aibu kununua dukani - kwa woga wa kuonekana ni mafuska?) Maana kama ni mambo ya uzazi wa mpango, mbona kondomu zilikuwepo tangu zamani na zinafaa kwa kazi hiyo?