Tuesday, 29 May 2007

KARIBUNI

Kwa yeyote anayepata fursa kutembelea blog hii ninamkaribisha kwa mikono miwili na ajisikie huru kutoa na kuchangia mawazo/maoni yake.
Huu ni uwanja wa kujifunza, kuelimishana, kukumbushana, kukosoana, kupeana changamoto mbalimbali, kuburudika na kubadilishana mawazo na uzoefu.
Mambo mbalimbali yanaweza kuzungumzwa hapa; mathalani elimu na taaluma zake, teknolojia, biashara na uchumi, jamii na maendeleo yake, siasa, ucheshi na maisha kwa ujumla.
Mawazo na maoni ya kila mmoja wenu ktk mada anuai zitazoonekana hapa yatakuwa ni mchango mkubwa na changamoto kwetu sote na jamii kwa ujumla.
Karibuni sana.

No comments: